inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Bibi yangu kazaliwa 1938Tarehe 31.12.1939 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa lugha ya kibantu tunasema 'sabukuu' ya Mama Maria Nyerere.
Wasomi wa lugha na mnaofahamu kizungu kuliko kiswahili neno sabukuu kwa kiswahili ni mazazi kizungu ni "birthday".
View attachment 2464195
Mama yetu leo anatimiza umri wa miaka 93, kwa pamoja mzazi huyu aliyemtunza Baba wa taifa letu tumtakue heri na afya tele huku Mwenyaazi Mungu azidi kumruzuku uhai zaidi.
102!?..yaani kamzidi mumewe!?Dooh MUNGU aendelee kuwatunza๐
๐๐๐ mie hata sijui mkuu102!?..yaani kamzidi mumewe!?
Mungu azidi kukulinda Mama yetuTarehe 31.12.1939 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa lugha ya kibantu tunasema 'sabukuu' ya Mama Maria Nyerere.
Wasomi wa lugha na mnaofahamu kizungu kuliko kiswahili neno sabukuu kwa kiswahili ni mazazi kizungu ni "birthday".
View attachment 2464195
Mama yetu leo anatimiza umri wa miaka 93, kwa pamoja mzazi huyu aliyemtunza Baba wa taifa letu tumtakue heri na afya tele huku Mwenyaazi Mungu azidi kumruzuku uhai zaidi.
Toa mfano Mkuu usiogope tutakulindawanaume wao huwa hawapumziki muda wote. Unakuta mtu ana miaka 80+ bado ana tamaa na anataka kuoa vitoto vya miaka 25+, kitu ambacho ni upumbavu
mkuu huyu ni mama wa kina makongoro siyo wa taifa. jokeTunamtakia umri mrefu Mama wa Taifa
Iwe kher ya kuzaliwa kwake bibi yetuTarehe 31.12.1929 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.