Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Na huu #UPOTOSHAJI WENU NDIO UNASABABISHA MPUUZWE CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
 
Ndio maana huyo mama anazuiwa sana kuongea na media hajuagi kumumunya maneno!!
 
Ni kweli. Serikali ya CCM imewatenga watoto wa Mwalimu na sisi watanzania hii haitufurahishi. Kwa nini asimteue Makongoro kuwa mbunge katika zile nafasi zake 10. Kwa nini asimpe Madaraka uRC. Hii dhambi itawatafuna. Jibu liko Oct 28.
 
9 December 2019

Mama Maria alishiriki kupigania Uhuru na Haki


Taifa linaadhimisha miaka 58 tangu taifa lipate uhuru, Daily News Digital inaangazia nafasi ya wanawake wajati wa harakati hizo
Leo akina Polepole wameenda kumlaghai aje kusifia na vimaneno wakamjaza , akaona isiwe taabu akaja. Huku wao wakitarajia anakuja kuimba nyimbo zao za kwaya. Amewaacha midomo wazi. Na maiki wakamnyanganya
 
Kwa hili nipo upande wa mama, ina maana watoto wake wote vilaza wameshindwa kuonwa kama wa wengine? Ubunge wamewanyima, wengine familia.nzima hadi wakwe wanagombea ubunge, kuna mama badala ya kutulia nyumbani ale pensheni yeye anaziba riziki za watu kwa kutaka ubunge, leo asimame aseme, mlitaka aseme nini? Mama kaonyesha mazito aliyonayo moyoni
 
So sad!. Ccm waache kumchosha bibi wa watu 😟
 
Wamewayima wanae hata kaubalozi tuu na kaubunge wee unafikiri moyoni atajisikiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…