Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Ukweli familia hii inetelekezwa na sio hii tu,familia nyingi za waasisi wa uhuru wametelekezwa yaani ajabu wameshindwa kuwapa hata kazi ya kufagia tu bungeni hao watoto sidhani kama wanaona faida yoyote kwa juhudi ya baba yao ukizingatia alikua muadilifu na akafa maskini.
Kwa hili nipo upande wa mama, ina maana watoto wake wote vilaza wameshindwa kuonwa kama wa wengine? Ubunge wamewanyima, wengine familia.nzima hadi wakwe wanagombea ubunge, kuna mama badala ya kutulia nyumbani ale pensheni yeye anaziba riziki za watu kwa kutaka ubunge, leo asimame aseme, mlitaka aseme nini? Mama kaonyesha mazito aliyonayo moyoni
 
Mmh hawa watu wana roho mbaya mama akifunguka jua amekwisha hawana huruma hata kidogo sio ajabu wakampeleka kwa mumewe fasta.
Huyu mama sidhani kama yupo pamoja na CCM...ipo siku atafunguka ukweli
 
Wajinga wamemlisha maneno matamu, wanafikiri bado tupo enzi za ujima!!
Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom