Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Mkutano wa leo ulikuwa wa mafanikio makubwa sana.

Jambo la mihimu Sana ni kwa Familia ya muasisi wa Taifa hili kumuendorse Rais Magufuli kwa awamu nyingine.

Wana Mara ahsanteni sana kwa kuonesha support kubwa , tupo pamoja.
 
waache wazee waenjoy pension si kwenda kuwaamsha asubuhi wawahi mikutano ya kampeni
 
Mama yetu wa taifa mama Maria Nyerere awakana walio taka kumlisha maneno.

Kweli uzee siku zote ni dawa nimeamini.

Sikilizeni wandugu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona mnahangaika sana na ccm? Hizi nguvu mnazotumia mngezielekeza kwenye kampeni zenu! Ccm chama kubwa na tunaijua wenyewe, hata yule tulie mtuma act kwenye ufunguzi kasema ccm oyee! Kwenye box la kura ccm ni kitu kimoja! Sasa subilini tar 28 tuwaonyeshe!!!
 
Haki ya Mungu ccm na Magufuri maji ya shingo , msilazimishe wazee mnatafuta laana za bure.
 
Mbona mnahangaika sana na ccm? Hizi nguvu mnazotumia mngezielekeza kwenye kampeni zenu! Ccm chama kubwa na tunaijua wenyewe, hata yule tulie mtuma act kwenye ufunguzi kasema ccm oyee! Kwenye box la kura ccm ni kitu kimoja! Sasa subilini tar 28 tuwaonyeshe!!!
Na sisi tunawaambia subirini 28.10.2020 tuwaonyeshe kazi ndio mrudi mwenu burundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama ni jasiri kama mumewe. Kweli mkiishi pamoja muda mrefu mnafanana.

Hawa jamaa kwa madaraka tu wana uchu. Huyo mama anastahili kupumzika sasa. Wao sijui wamemtoa wapi - Msasani ama Butiama na kumsimamisha jukwaani! Shame on you.

Mama Maria hakupata kutoa hotuba za kisiasa hata wakati wa utawala wa mumewe. Sasa wanamsomba akamfanyie Magufuli kampeni! Hawana akili kabisa. Nadhani hawatarudia tena.

Musoma ndio ilivyo. Hakuna unafiki huko. Hata Waitara wanamchinjia mbali. Labda NEC imtangaze kwa nguvu tu.
 
Mimi nilijua sisi wafanyakazi wa serikali ndio tu tunaolazimishwa. Kumbe hata mama wa taifa amelazimishwa. Huyu mama hakupata kusimama kumfanyia kampeni mumewe wakati bado yuko kijana. Leo anakimbilia miaka 90, mnampeleka kwenye majukwaa ya siasa! Shame on you CCM.
 
kuwa mpinzani TZ has a lot to do with marijuana.....
muacheni mama

mwacheni mama apumzike bwana we..chaaa!!! kura ni nini jaman nyie ma ccm mbona mnakuwa kama mmelaaniwa nyie? hivi huyu mama ni wa kumsiliba milipustiki kuja kumtembeza majukwaan kwel na umri huu kweli na kumlazimisha atamke mambo hata hayajui? mna laana nyie.
 
Fisi na mkono vimeingiaje hapa. Haya ni maneno ya Mama wa Taifa huko Musoma. Mubashara kupitia TBC yenu.
Wishful thinking. Fisi anafuatilia mwanadamu akisubiri mikono ianguke ale. Utasubiri kweli kweli..........
 
Back
Top Bottom