Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na watoto.

IMG-20230215-WA0025.jpg
IMG-20230215-WA0028.jpg
IMG-20230215-WA0027.jpg
IMG-20230215-WA0026.jpg
 
Wanawake kweli kujiamini Fsana ,kuwasilisha TU taarifa Kwa mwezake anajikunja
 
Back
Top Bottom