Mama Masaburi anapaswa kutoa ushahidi kwa kuwataja wabunge ambao ni mashoga

Mama Masaburi anapaswa kutoa ushahidi kwa kuwataja wabunge ambao ni mashoga

Nadhani anafikiria wanaolengwa ni Mdee na Bulaya na katika fikra zake finyu anafikiria kuwa anaikomoa CHADEMA.
chadema ataikomoaje wakati amesema kuna wabunge mashoga wewe tuambie hapa chadema inambunge nani mule bungeni otherwise anamaanisha ccm imejaza mashoga bungeni maana ndio wabunge pekee waliomo humo. Ndio maana huwa nasema hapa kila mara kuwa ccm na wafuas wao ni mashoga haya sasa imejidhihirisha kwa mbunge wao huko ccm.
 
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.

Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe.

Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na wabunge wenzake lkn spika haamuru mbunge huyo kutoa uthibitisho/ushahidi wa tuhuma hizo.

Mfano Masaburi amesema baadhi ya wabunge ni mashoga. Tuhuma hizi nzito za Masaburi hazikukanushwa na zimeingia kwenye kumbukumbu za bunge (Hansard). Hivi ni kweli kwamba kuna wabunge mashoga?

Tulia na wasaidizi wake walipaswa kumtaka Masaburi awataje kwa majina na ikibidi wakapimwe hospitali ili kuthibitisha. Hii ingelinda hadhi ya bunge na wabunge.

My take: Bunge lisigeuzwe kijiwe. Tunataka wabunge mashoga watajwe.

Nimemkumbuka mzee wetu Mzee wa msamiati wa "Masaburi"

"Wabunge wa Dar es Salaam wanafikiri kwa makalio badala ya Ubongo" - Thomasi Masaburi

😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom