- Thread starter
- #21
Rectal ExaminationYap...kipimo kipo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rectal ExaminationYap...kipimo kipo
Ova
chadema ataikomoaje wakati amesema kuna wabunge mashoga wewe tuambie hapa chadema inambunge nani mule bungeni otherwise anamaanisha ccm imejaza mashoga bungeni maana ndio wabunge pekee waliomo humo. Ndio maana huwa nasema hapa kila mara kuwa ccm na wafuas wao ni mashoga haya sasa imejidhihirisha kwa mbunge wao huko ccm.Nadhani anafikiria wanaolengwa ni Mdee na Bulaya na katika fikra zake finyu anafikiria kuwa anaikomoa CHADEMA.
chadema inambunge yupi au mashoga ya ccm mliojazana jf mmekuja kuwatetea wenzenu kule bungeni maana kule bungen mmejazana ccm.chadema watakubali kweli
chadema watakubalichadema inambunge yupi au mashoga ya ccm mliojazana jf mmekuja kuwatetea wenzenu kule bungeni maana kule bungen mmejazana ccm.
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.
Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe.
Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na wabunge wenzake lkn spika haamuru mbunge huyo kutoa uthibitisho/ushahidi wa tuhuma hizo.
Mfano Masaburi amesema baadhi ya wabunge ni mashoga. Tuhuma hizi nzito za Masaburi hazikukanushwa na zimeingia kwenye kumbukumbu za bunge (Hansard). Hivi ni kweli kwamba kuna wabunge mashoga?
Tulia na wasaidizi wake walipaswa kumtaka Masaburi awataje kwa majina na ikibidi wakapimwe hospitali ili kuthibitisha. Hii ingelinda hadhi ya bunge na wabunge.
My take: Bunge lisigeuzwe kijiwe. Tunataka wabunge mashoga watajwe.
mashoga mmejazana bungen leo mnataka kuukimbia ubunge kisa masaburi kawasanulia tabia zenu.chadema watakubali
Kwanini watajwe?hayo ni mambo binafsi ya mtu, kuwa na Akili hata kidogo basi.
CHADEMA haina mbungechadema watakubali kweli
Who was the hitman?Niseme tu kwamba Lisu ana akili kubwa! Japo kuna wajinga na wapumbavu humsingizia upuuzi haya ndiyo mambo ya chumbani sasa. Aliyempiga risasi Lisu yupo wapi?