mkuu siyo kweli kabisa kwa sababu mama anapopata mimba shingo ya kizazi yaani cervix inafunga kabisa hakuna kuingia wala kutoka kitu.
.......Hayo mafuta yanayoonekana kama uchafu yakiwa kwa mtoto anapozaliwa yanaitwa vernix caseosa kwa ajili ya kulinda ngozi ya mtoto,na haishauriwi kuyatoa ila huisha menyewe, tatizo ni wazalishaji wasio na elimu ya kutosha juu ya mambo hayo hufokea watu kuwa wamemega mpaka dakika ya mwisho......hivyo kula tunda mpaka dakika ya mwisho, wakikuambia waambie ni vernix caseosa hiyo"..........msinyimane...."