Mama mjamzito kujifungua mtoto mchafu

Mama mjamzito kujifungua mtoto mchafu

dobolo

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
47
Reaction score
8
Wanajamvi kumekua na imani tofauti katika jamii zetu,moja ya imani hizo ni mama mjamzito kuzaa mtoto mchafu endapo ataendelea kufanya mapenzi katika miezi ya mwishoni kuelekea kujifungua,naombeni maelezo ya kitalaam juu ya imani hiyo kama ni kweli.
 
mkuu siyo kweli kabisa kwa sababu mama anapopata mimba shingo ya kizazi yaani cervix inafunga kabisa hakuna kuingia wala kutoka kitu.
.......Hayo mafuta yanayoonekana kama uchafu yakiwa kwa mtoto anapozaliwa yanaitwa vernix caseosa kwa ajili ya kulinda ngozi ya mtoto,na haishauriwi kuyatoa ila huisha menyewe, tatizo ni wazalishaji wasio na elimu ya kutosha juu ya mambo hayo hufokea watu kuwa wamemega mpaka dakika ya mwisho......hivyo kula tunda mpaka dakika ya mwisho, wakikuambia waambie ni vernix caseosa hiyo"..........msinyimane...."
 
Nakuunga mkono mia kwa mia
 
Inashauriwa sana pia Mume afanye tendo la ndoa na mke wake akiwa mjamzito mpaka siku za karibuni kwa yeye kujifungua. Hii inasiidia kulegeza pale palipo ziba baada ya mji wa mimba kufunga na kumfanya mke asisumbuke sana wakati wa kujifungua.
 
Ni kweli mkuu kula tunda mpaka dakika ya mwisho kunafanya njia iwe laini na iwe rahisi kutanuka mtoto anapopita.".......Nayi mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru"

Hamna kitu ya namna hiyo. Wewe usiwasikilize wakunga wa jadi na walimu wa UPE. Sikiliza professionals. Asante
 
Back
Top Bottom