Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu siyo kweli kabisa kwa sababu mama anapopata mimba shingo ya kizazi yaani cervix inafunga kabisa hakuna kuingia wala kutoka kitu.
.......Hayo mafuta yanayoonekana kama uchafu yakiwa kwa mtoto anapozaliwa yanaitwa vernix caseosa kwa ajili ya kulinda ngozi ya mtoto,na haishauriwi kuyatoa ila huisha menyewe, tatizo ni wazalishaji wasio na elimu ya kutosha juu ya mambo hayo hufokea watu kuwa wamemega mpaka dakika ya mwisho......hivyo kula tunda mpaka dakika ya mwisho, wakikuambia waambie ni vernix caseosa hiyo"..........msinyimane...."
Inashauriwa sana pia Mume afanye tendo la ndoa na mke wake akiwa mjamzito mpaka siku za karibuni kwa yeye kujifungua. Hii inasiidia kulegeza pale palipo ziba baada ya mji wa mimba kufunga na kumfanya mke asisumbuke sana wakati wa kujifungua.
Ni kweli mkuu kula tunda mpaka dakika ya mwisho kunafanya njia iwe laini na iwe rahisi kutanuka mtoto anapopita.".......Nayi mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru"