KERO Mama mjamzito kwenda clinic Kwa mara ya kwanza kuna kulipia kwenye hospital za umma?

KERO Mama mjamzito kwenda clinic Kwa mara ya kwanza kuna kulipia kwenye hospital za umma?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

jah bless xon

Senior Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
147
Reaction score
318
Habarini wakuu..

Leo mke wa rafiki yangu kaamua kwenda clinic, baada yakujihisi ni mjamzito wa zaidi ya miezi mitatu..akaamua kwenda hospital iliyopo chuo Cha polisi mkoa x..amefika anaambiwa anatakiwa alipie elfu 54 kwanza, hii ni haki??

Alikuwa na elfu 20 wamemkatalia kabisa..nawaza hii ni sawa kweli?? Vipi wale wasiyo nacho kabisa?? Vipi swala la mweshimiwa Raisi la kuokoa afya ya mama na mtoto??
 
Back
Top Bottom