Mama mjamzito ni lazima apime vvu kila anaporipoti kliniki ???

Mama mjamzito ni lazima apime vvu kila anaporipoti kliniki ???

Mmmhhhhh... Wanafanya hivyo kweli?

Kuna wakati niliona mwongozo huu.
Lakini, nadhani rasilimali watu, vitendea kazi na mambo mengine vinafanya isifanyike kwa vitendo kwa kila mmoja na kwa mtililiko tajwa.
 
Wajuzi wa Mambo Au Kina Mama Ambao Tayari Mmeshapitia Steji hii.

Hivi ni Lazima Mjamzito Apime Virusi vya Ukimwi kila anaporipoti Kliniki.
Huenda iligoma ku-react kwenye first visit, au wanajihakikishia tu
 
nadhani ni wakati wa hudhurio la kwanza clinic na ile siku ya kujifungua.
 
Wajuzi wa Mambo Au Kina Mama Ambao Tayari Mmeshapitia Steji hii.

Hivi ni Lazima Mjamzito Apime Virusi vya Ukimwi kila anaporipoti Kliniki.
Unapimwa kwa ajili ya mustakabali mwema wa mama,mtoto na wanaokuzunguka.Kwa nini hampendi kupimwa?Mnaogopa kuchomwa kijisindano?Mmeanza mambo ya kuogopa kupimwa na kuchanjwa kama Covid 19?
 
Back
Top Bottom