Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Umeshaharibiwa ubongo.Ngoja uupate halafu usinywe hizo dawa unazoziita sumu!ujuaji tu
Sina la kukusaidia isipokuwa kukusikitikia mwaisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaharibiwa ubongo.Ngoja uupate halafu usinywe hizo dawa unazoziita sumu!ujuaji tu
muraa.. imekuwaje huko baba umeitwa kupeleka sampo hospitali au?😂Wajuzi wa Mambo Au Kina Mama Ambao Tayari Mmeshapitia Steji hii.
Hivi ni Lazima Mjamzito Apime Virusi vya Ukimwi kila anaporipoti Kliniki.
Wanazingua kwa KweliiiiiKwa hospitali hz za kizalendo (serekali) inawezekana. niliwahi kwenda kufunga kidonda hospitali moja ya serikali baada ya kuwa nmejikwaa kidoleni. cha ajabu baada ya kushughulika na jeraha wakaanza kunipekua hayo mambo ya ngoma. naona hospitali binafsi hawana huo muda.
AnapimwaHapana. Nafikiri anapimwa hudhurio la kwanza pekee.
Amna ni hofu tuuu...manaaaaNi vizuri ukapima au kama unaishi na VVU kuwa muwazi ili wahudumu wahakikishe mtoto anabaki salama.
Watoto wadogo WASIO NA HATIA wanameza Dawa mpaka wanatia huruma kwasababu ya UZEMBE was Watoa huduma au ROHO MBAYA za Wazazi au KUPUUZIA.
ofcourse ili ikijulikana wewe na mkeo mmeyakanyaka mtoto aliyetumboni aingizwe kwenya utaratibu wa uzazi salama! kuna uwezekano mkubwa wa kuzaliwa hana ngoma! Tulia mama aende kupimwa ili mumnusuru mtoto!Wajuzi wa Mambo Au Kina Mama Ambao Tayari Mmeshapitia Steji hii.
Hivi ni Lazima Mjamzito Apime Virusi vya Ukimwi kila anaporipoti Kliniki.
Hapo sasa..Ni sharti sio ombi na baba mwenye hio mimba pia anatakiwa kupima
Mmhh.... Hii ya kwenye makaratasi.... Sisi tunaokwenda clinic tuna majibu ya uhalisia kinachoendelea😆🤣Yes...wanapima walau mara 3. Ukipima ile ya kwanza, kwenye kadi unaandikiwa tena baada ya miezi mi 3, then utapimwa tena.
Hii ya kwenye makaratasi jamani.... Mbona huko clinic tunapimwa Mara Moja.... Acheni utani bhanaz😆🤣😅Anapimwa
- Hudhurio la kwanza ( first trimester)
- Anapimwa tena third trimester.
- Baada ya hapo anapima tena Miezi 3 baada ya kujifungua.
- Anapima tena miezi 6 baada ya kujifungua.
- Mwisho miezi 9 9 baada ya kujifungua.
Anatakiwa kupima Mara 5 kama ataanza Clinic mapema iwezekanavyo.
Labda ni hiyo Clinic uliyoenda wewe..ila niliyompeleka wife amepimwa more than two times.Hii ya kwenye makaratasi jamani.... Mbona huko clinic tunapimwa Mara Moja.... Acheni utani bhanaz😆🤣😅