stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Wewe kama dada mtu ulimshauri vipi dogo?
Huyo mama nae hana hata aibu,hajiongezi aaagghhr
chezea mjini wewe mkwe nae kajua kusugua gaga kijijini tena nehiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kama dada mtu ulimshauri vipi dogo?
Huyo mama nae hana hata aibu,hajiongezi aaagghhr
Chocs mpnz utashaur kwenye ndoa ya m2 mwisho wa cku dada mbaya ila nilimwambia azidishe mapenzi kwa mkwewe mana yawezekana ndo mtihan mkwe anampima kwa kosa dogo asimpe nafasi mkwe ya kumpa sifa mbaya.
chezea mjini wewe mkwe nae kajua kusugua gaga kijijini tena nehiiiiiiiiii
Yaani mila zingine ni majanga. Atakuwa na hidden agenda si bure.
Hahahaaaa. yaani hali ya hewa we acha tu. Inanitamanisha sana nikaoteshe matikiti/mihogo mahali.
Ushaambiwa hiyo njemba uwezo wake ni kodi ya chumba kimoko. Sasa ndugu yangu hiyo hela ya kulipia Lodge atatoa wapi? Majanga!acha kuongelea ushabiki, fikiria chumba kimoja na mtu kaja kwa kusalimia na si matatizo. Sie kwa mila zetu hairuhusiwi kabisa mzazi kuona kitanda cha mwanae sembuse kulalia? Tena bila sababu ya msingi. Huyo mama anatafuta la kulitafuta. Huyo mdogo wako avumilie tu na akimuhitaji mumewe waende hata lodge kukidhi haja zao
Duh hizo ndo changamoto za ndoa..avumilie tu kaja kwa mwanae kula bata loh si mnajua wamama wakwe wengine?! ! Lakinii......inamana huyo mdogo wako na mumewe hawawezi kutoka hata siku moja kwenda mahali pa faragha wakamalize shida zao huko then wakarudi maisha yakaendelea?? Aaah jamani mbona simple hivyo embu mwambie afanye hivyo kwanza ....

Ushaambiwa hiyo njemba uwezo wake ni kodi ya chumba kimoko. Sasa ndugu yangu hiyo hela ya kulipia Lodge atatoa wapi? Majanga!
Ndo mana wengine wanataka wakiolewa wakute mama wakwe washa-rest in peace
Avumilie tu ndo ashamchagua...