Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

Hayo ni matesho bila chuki jaman daaa mambo gan hayo? lakn kwanin huyo mumewe asimwambie mama ake ukweli? duuu au mamamkwe hana shughuli ya kufanya dat y anafanya ziara tu kwa wanae?
sio poa kabisa hapo atasababisha ugomvi
 
Ndo mana wengine wanataka wakiolewa wakute mama wakwe washa-rest in peace

Avumilie tu ndo ashamchagua...

Chocs mpnz utashaur kwenye ndoa ya m2 mwisho wa cku dada mbaya ila nilimwambia azidishe mapenzi kwa mkwewe mana yawezekana ndo mtihan mkwe anampima kwa kosa dogo asimpe nafasi mkwe ya kumpa sifa mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe wewe a.rahabu una umri zaidi ya miaka 26...
 
Last edited by a moderator:
kwa watu wa dodoma ni jambo la kawaida sana kulala chumba kimoja wanawake wanaume tena ndugu. kwa hiyo hilo swala mwambie avumilie tu na wala asilalamike kwa mumewe atamuona anamchukia mama yake
 
Hahahaaaa. yaani hali ya hewa we acha tu. Inanitamanisha sana nikaoteshe matikiti/mihogo mahali.

hahahahaha Tized umeshachelewa mda huu yalitakiwa yawe yameanza kuota lol
 
Last edited by a moderator:
Ushaambiwa hiyo njemba uwezo wake ni kodi ya chumba kimoko. Sasa ndugu yangu hiyo hela ya kulipia Lodge atatoa wapi? Majanga!
 
ukiongea tu utachukiwa maisha yote hapo duh ndoa hizi
 

Nao watapangaje chumba kimoja wakati wanajua ndugu watakuja? Na kwa nini walikubali aje huku wanajua nafasi hakuna?
 
mama mkwe atakuwa katokea kijijini mbali mutukura huko sasa hawezi kukaa siku chache tu, lazima anainishe ngozi kwanza mujini akirudi kwake ni time ya kuvuna miezi ya June huko...
 

Hapo sasa na mi ndo nashangaa! Huyo ni mzazi wenu kama mnaona mnateseka sana mpangishieni chumba kingine awe anashinda tu anaenda kulala, Sasa mzazi apate aibu kwa mwanae, Wewe ndo huna hata aibu kuzungumza hivi hadharani.
 
Tatizo ni kwa nn ulikubali kumkaribisha mama wakati una chumc 1! Wanaogaje hawa watu? Kumwambia mama atoke kazi ipo kama uwezo upo akapange walau 2rooms! Kama hakuna uwezo basi avumilie mama mapaka aondoke! Ila na nyinyi wake zetu mkome hizi tabia: ndugu wa mume wakija mnawaangalia vibaya hata kama wanakosea lakini mara nyingi hamwatendei haki ila ndugu wa mke wakifika hata wakifanya makosa ya dhahiri na mwanaume ukataka kuchukua hatua mke atakugeuzia kibao mimi yamenikuta sana mpaka sasa sitamani kuishi na ndugu awe wa upande wangu au wa mke sihitaji!
 
Tatizo ni kwa nn ulikubali kumkaribisha mama wakati una chumba 1! Wanaogaje hawa watu? Kumwambia mama atoke kazi ipo kama uwezo upo akapange walau 2rooms! Kama hakuna uwezo basi avumilie mama mapaka aondoke! Ila na nyinyi wake zetu mkome hizi tabia: ndugu wa mume wakija mnawaangalia vibaya hata kama wanakosea lakini mara nyingi hamwatendei haki ila ndugu wa mke wakifika hata wakifanya makosa ya dhahiri na mwanaume ukataka kuchukua hatua mke atakugeuzia kibao mimi yamenikuta sana mpaka sasa sitamani kuishi na ndugu awe wa upande wangu au wa mke sihitaji!
 
Ushaambiwa hiyo njemba uwezo wake ni kodi ya chumba kimoko. Sasa ndugu yangu hiyo hela ya kulipia Lodge atatoa wapi? Majanga!

hilo nalo tatizo maskini. Kwa hali hiyo watahamia sasa wote baba na mama mkwe maana heshma yao hakuna kabisa.
Sielewi kabisa kama huyo mama mkwe katumia akili gani hadi kung'ang'ania kwenye chumba kimoja.
 
Ndo mana wengine wanataka wakiolewa wakute mama wakwe washa-rest in peace

Avumilie tu ndo ashamchagua...

...I see, nimeshangaa hadi mdomo umebaki wazi!! Mnatamani mama zetu wawe six feet under kisa hamtaki kero zao? Oooh my goodness, wasingekuwa hao mama zetu tungeonana? Kweli baadhi ya wanawake ni vitumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…