Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Naomba uhariri habari yako vyema hueleweki kabisa.Rafiki yangu alikwenda kusaidia nyumbani kwa mtoto wake wa kiume. Hawakuwa na msichana wa kazi hivyo mtoto wake ambae ndiye mume alimuomba aende mjini kwa muda.
Ameishi miezi mitatu, mama mke wa mwanae ameamua kuhamia hotelini na kumwambia mume wake, hataridi nyumbani mpaka mama yake awe ameondoka.
Mama wengine wanaona mke amekuja kuwa princess kwenye nyumba ya mwanae. Hawajui kuwa mke pia anasaidia majukumu ya nyumbani ili mradi maisha yaende.
Andika vizuri...
wanaochangia wamechangia kwa uzoefu wao si kwasababu wameelewa habari yako