Naomba uhariri habari yako vyema hueleweki kabisa.Rafiki yangu alikwenda kusaidia nyumbani kwa mtoto wake wa kiume. Hawakuwa na msichana wa kazi hivyo mtoto wake ambae ndiye mume alimuomba aende mjini kwa muda.
Ameishi miezi mitatu, mama mke wa mwanae ameamua kuhamia hotelini na kumwambia mume wake, hataridi nyumbani mpaka mama yake awe ameondoka.
Mama wengine wanaona mke amekuja kuwa princess kwenye nyumba ya mwanae. Hawajui kuwa mke pia anasaidia majukumu ya nyumbani ili mradi maisha yaende.
Na hivi familia zetu za kiafrika hazina mipaka na mke anachukuliwa kama kitu cha kupita.... kila mtu anataka ku-mark territory yake humo ndaniShida hapo kila mtu anajihesabia haki kwa kijana....
Mama (huyu ni mwanangu na hapa ni kwake nina haki zote juu yake)
Dada ( huyu ni kaka angu na hapa ni kwake nina haki zote kwake)
Mke (huyu ni mme wangu na hapa ni kwangu/kwetu nina haki zote)
Ukijumlisha na akili zetu wanawake zilivyo, tabu tupu.
Sasa gari moja madereva watatu, kuna kitu hapo?Na hivi familia zetu za kiafrika hazina mipaka na mke anachukuliwa kama kitu cha kupita.... kila mtu anataka ku-mark territory yake humo ndani
πππUshapigwa limbwata broπππ