Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga


Anahitaji ushauri

Thread 'Ndoa inaelekea kunishinda' Ndoa inaelekea kunishinda
 
Wadada wa kichaga mna mambo ya ovyo sana ,mama mkwe yuko shihi,mi pia mzee wangu aliniambia nisioe mchaga nikabisha kilichofuata ni kilio
 
Wachaaga wanawezana wenyewe wao weyewe wanabaguana wa sehemu na sehemu hawaoani ovyo kuna sijui wa mkuu, sijui wapi wap uko
 
Hata mm sipo tayari kuoa mchaga na mwanangu hawezi kuoa mchaga kwa sababu baba yangu mdogo alionywa kuhusu kuoa mchaga hakusikia. Baada ya muda alipata safari ya kwenda Marekani kimasomo na baada ya kuhitimu alifanya kazi miaka miwili hela anatuma huku. Baada ya miaka miwili alipata likizo akaja kuona familia na hela aliyotuma aliagiza ijenge nyumba ya kuishi wao. Alipofika alikuta nyumba ya vyumba viwili tofauti na hela aliyotuma. Kosa lake lilikuwa kuhoji matumizi ya hela iliyobaki. Alipewa sumu. Kumbe yule mwanamke alijenga nyumba ya maana kijijini kwa wazazi wake. Alikufa kifo kibaya sana na ndoto zake za kuwa na familia bora ziliishia hapo. So siwezi kubet eti sijui mmarangu wala mkibosho. Mchaga kwetu noo.
 
Miss Chuga, wachaga ni wazuri na wanajua kupenda.
Tatizo ni mila kuanzia miaka ya kati hadi uzeeni.
Mwanaume asiye mchaga kuishi zaidi ya hapo kwa mali mlizochuma ni shida.
Fanya utafiti, na utaona.
Ndio maana wale wa kulee, wakaitwa wapalestina.
 
Kusema kweli mikoa ya Mbeya na Iringa kwenu ukisema unaoa uchagani hakuna anayekuelewa.....sijui wachaga waliwafanya nini wazee wetu, nimeishi mikoa yote, wazee wengi wamewasusia watoto wao Proposal za kuoa uchagani
Miaka ya 70, mzee mmoja maarufu sana hapa DSM, alipata mchepuko ambao ukawa nyumba ndogo, mpalestina( bibi wa kichaga toka Machame).
Huyo mzee aliitwa Simkoko , na alikuwa tajiri sana.
Kwao Mbozi Mbeya.
Toka miaka ya 60 mzee huyu alikuwa na Club za starehe (Mnazi Mmoja Gate Ways Night Club) na biashara kubwa.
Miaka hiyo yeye gari yake ya kutembelea ilikuwa Benzi.

Sasa sijui alikorofishana nini na bi mdogo, lakini ilikuwa mambo ya mali kugawana.Bi mdigo alisha hodhi mali nyingi.
Huyo mzee akaishia kuuwawa kwenye treni ya Tazara, akielekea Mbeya.
Hii stori ilisambaa miaka na miaka, na mama zetu walikuja sema suuu...! Nikuone na girlfriend wa kichaga.
 
Hii notion bado ipo saana ila wanawake wa kichaga hawako hivyo tena

Nafikiri waliponzwa na wamama wachache wa kichaga waliokuwa na tamaa ya mali.
tatizo wachaga wanamambo ya ajabu sana angalia hata post zao kwenye nyuzi mbalimbali humu jf zimekaa kikabila sana hafu wanatamaa sana na mali hawa viumbe.
 
Kama Ni mpalestina haufai kwel ata huku uchagani kwingne ukitambulisha mpalestina mama anapiga yowe
 
Hawana ethics za kijamii wapewe elimu mi labda mchaga ambaye hajakulia sehemu tofauti ya Kilimanjaro na arusha

Maana atakuwa na ustaarabu fulani
 
Pia miaka ya 2000's Kuna Dr mkuu wa hospital moja Mbeya,Sasa Songwe (siitaji) mkewe mchaga alihamisha fenicha zote ndani na kupeleka kwenye nyumba aliyojenga Kwa siri Arusha,yeye mwenyewe akaenda kuripoti Police kwamba kaibiwa kwake........ police wakaanzisha operation,gari iliyopakia ikakamatwa,wale waliokodiwa wakashangaa maana walikuwa wanasafiri na mwanae kusimdikiza mzigo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…