Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]duhhhh
 
Hata Mimi nilikuwa namtokea demu wa kichaga, majirani wakanipa maonyo.
 
Sasa kwanini uende hiyo familia
 
Wachaga Habana cheza
 
Wengi wako hvyo mnk kuna mmoja alishawai nizarau kisa Sina pesa akasema live kbsa yye anatak pesa mapenzi Hanaga Wala nn na hajui mapenzi yey kwake Ni pesa tu Happo alipo sas HV Ni single mama na mwaka Jana kuna rfk angu kanipa taarifa kuwa kaachana na bwana ake mpya ambaye Ni muhaya
 
Siku mkiowana kaeni mita eltano au kilometers 1000 usawa wa nyumban kwa mam mkwe amani yako utaipata
 
Huu mkaza wako naufananisha na wa mam angu wakt anaolewa na mzee wangu mam mkwe alimchukia sna sna bila Sababu mbay Zaid mam alichelewa kupata mtot miaka sita bila mtot hi kitu kilimuudh Hadi leo Hana hamu na mawifi / shangaI zangu Wala Bab zangu wadogo ataki kabsa kuwasikiaa ila mungu Ni mwema akampa watot sita na wote tuko hai
Kifupi tu kuwa ukiweza kuolewa na jamaaa ako ameni kbsa kilometa kwazia mia tano na kuendelea
 
Hao jamaa wanaa damu ya kiutafutaji.
Anajua mmewe sio nduguye dakika yyte mnaachana.pia wanapambana kujenga kwao hata kwa kukuibia Mali zako wanajenga kwao wanapiga makofi kuwa mwanetu ni mjanja.
Yaani Moshi mabinti wanashindana na Kaka zao kujenga kwao.
Sie vyasaka tukishafanya Ile kitu inaitwa send off basi huwa ni mazima hatuna Tena stori na dada yetu Mana ameshaolewa huyo ameenda kuwa ukoo wa mmewe.Mifupa yake akifa akioza ataoza pamoja na udongo uliozoesha babu za mmewe.
Check mmasai ama mkurya akishaolewa Hana story Tena na kwao.
Hata Kama amekosana
na mmewe inabidi ashitaki kwa ukoo wao huo huo wa mmewe.
kwani hawapo ndugu wengine Hadi akifinywa tu arudi alikozaliwa.
 
Mkuu mwanamke yeye anakukubalia kids ameona mwanga wa maisha kwako.
Na wewe unampata kisa amekuvutia kingono smt ama tabia.
So yeye akapatwa anapopatwa lazima naye apate.
Ila sie me tukiwa Kama wao kuwa una kazi pesa ama umesoma.nakuambia watajaa Sana mtaani.
Pia suala la kufa mnaweza mkafa pia wote.
Sema bana dunia haijakamilika so tuende nayo ivyo ivyo.
 
Pole dear.... Jaribu kumshirikisha mtu wako wa karibu sana.......Muombe Mungu pia anakupitisha kweny jaribu na utalishinda.......huyo mkaka akiongea kitu kwa sasa we kubali kwanza na usionyeshe kumchukia mama ake.....hadi hapo suluhu itakapopatikana
 
Fafanua mkuu changamoto zao bado tuna watoto hawajaoa
Apandacho mtu atavuna... ofcourse mwanamke wa kichaga si wa kuoa hilo liko wazi . Kama umebaguliwa ni kwa vile na wachaga tunabagua watu
Mimi mwenyewe mchaga ila kweli mwanamke wa kichaga ni changamoto
 
Kuna uzi huko ndoa tayari, mrejesho upo miezi 6 imepita ameshaanza kupitia kwenye kikaango cha samaki ndoa ndoano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Poleni
 
yaan mm mzaa chema tu akinikataa basi ata siangaiki kwa kwel.
 
hatari sijui kwanini wanakuwa masista duu
 
Apandacho mtu atavuna... ofcourse mwanamke wa kichaga si wa kuoa hilo liko wazi . Kama umebaguliwa ni kwa vile na wachaga tunabagua watu
Mimi mwenyewe mchaga ila kweli mwanamke wa kichaga ni changamoto
Mchaga na mmeru Kuna tofauti boss
 
hivi wameru wakoje ninaye mmoja Ana tabia za dharau, kiburi na jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…