Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Ushauri wangu ni hivi olewa kwingine maisha ndio haya mbona wanawake wachuga wanaolewa na wazungu umetoka wapi na vibudu ,?? Wamekomaa kama Nini
The more modern a girl, the less her value as a wife.

What does a man want?

Love, appreciation, children,and hot dinner after work made by his smiling wife.

Not someone who is tired from her own job, doesn't want kids, and can't cook.
 
Mama mkwe yuko sawa. Mpare na Mchaga umuozeshe mwanao! Nani anataka kahaba nyumbani. Heri ya Mhaya hata Mnyaturu kuliko mchaga tena mmachame. Yethu! Wanajamiiana kama inzi, kaka dada, mjomba shemeji baba mkubwa na mdogo mradi kila ajaye anapewa tu
Acha ujinga. Unakuwa kama haukatwi.
 
Ndoa ni yenunna siyo ya mama mkwe So as long as mnapendana fanyeni hta kimyakimya ,kuna wazee bado wana viji elements vya kipumbavu vya kizamani kbsa.
 
Huu ndio ulikuwa uahauri bora zaid kwa huyo miss chugga
 
jitafakari sana, si ajabu ukiolewa huyo jamaa atakuja kugeuza hilo sakata kuwa fimbo kwako. Mtakapohitilafiana kidogo hata kama yeye ndiye amekosea, badala ya kuzungumza na kutengeneza si ajabu atakuwa anakwambia anajuta laiti angemsikiliza mama yake.......
 
Kwa hamisa na mondi kulitokea nn kwani?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe na huyo mchumba wako nyie ndo wenye mamuzi, kwanza wewe ni mchaga wa wapi?

Mimi nimeoa mchaga wa Mwika maeneo ya Lole marela, kipindi tunachumbiana wazazi wangu na wazazi wake pia hawakupenda.

Wazazi wangu walikuwa wanaogopa wachaga kwamba hawadumu na wanaume na wako after money, lakini pia na yeye wazazi wake walikuwa wanaogopa kabila langu kwamba ni wakorofi wanapiga wanawake.

Lakini kwa msimamo wetu, nilitoa mbuzi wawili, moja wa baba na moja wa mama, mbege zilinyweka mbona, still now nampenda mke wangu sana naye ananipenda balaa.

Kuweni na msimamo vijana!!
 
Mama dangote, hampend mobeto, na mond anamsikiliza mama yake, na ndio mana hawako poa Sana hata na yule mtoto waliozaa na hamisa.
Imeshathibitika kuwa yule mtoto si wa DIAMOND au hujui hilo?
 
kwa sasa tupe mrejesho nini kilijiri????? kama mlioana ndao inaendeleaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…