Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Nimepigwa na bumbuwazi wadau!
Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona umejiinamia?" Akaaniita na Kisha nilipofika alipo akasema tu, "angalia!" Basi akapandisha nguo yake na kunionyesha jipu likiwa kwenye paja lake. Nikacheki kwa 'jicho kum-beru' Huku nikiwa katika mshangao mkubwa Kisha nikaondoka zangu.
Hii imekaaje wadau?!!!!