Mama mkwe katuma tena SMS. This time nimemjibu, ebo!

SAWA MAMA
 
Utakuwa bado Mtoto. Ungemchunia tu. Siku akiona mwanae kadhiba angepata jibu

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Wee jamaa hayo ni mambo ya kifamily zaidi. Kaa na mkeo wewe km mwanaume myamalize. Uhusiano wa mkeo na mama yake ndio unaokutesa. Hapo inaonesha mkeo anamwambia mama yake Siri zenu zote za ndani ikiwa ni pamoja na uwezo wako na utundu ndani ya sita kwa sita. Ukishindwa kumcontrol mkeo angali mapema utateseka maisha
 
Kawaida kila sku najiona i am not mature enough to marry , hio namaanisha kuweza ku handle mambo in effective way na uvumiliv wakupitiliza ila nikiona jamaa kama huyu yaan kitu kidog tu namna hii analeta jamii forum aisee najiona ni bongez la shujaa in handling personal matter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, Pengine mama mkwe anajua binti yake alikuwa anajua hayo mambo hivyo anakutaarifu usijidhanie ni mgeni wa mambo ya faragha.

Pili: Huwezi jua mawasiliano na binti yake yakoje, labda binti alimtaarifu kuhusu ''uwezo na ujuzi wako'' kwa mambo hayo, hivyo pambana kwa hali na Mali.

Tatu: Baina ya mama na binti huwa kuna siri kubwa sana. Hata kama mama mkwe hatokuuliza, lakini ni lazima amuulize bintiye mambo yalivyo. Huo ndiyo ukubwa, na ndiyo kujua kwenyewe.

Nne: Vita hiyo si ya mtoto pekee kama unavyodhani, na ujuzi pia huchangia kuridhika na kutulia kwa huyo mwenzio. Kama ulidhani ni mtoto pekee yake, umekosea sana, japo hilo nalo lina nafasi yake ingawa huna uwezo wa kulazimisha like kama MUNGU hajaamua.

Karibu kwenye ulimwengu wa unyumba baba.

Pambana, shamba umeshapewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana kwa ushauri mkuu. umeandika kwa busara kama mjomba vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…