Well, Pengine mama mkwe anajua binti yake alikuwa anajua hayo mambo hivyo anakutaarifu usijidhanie ni mgeni wa mambo ya faragha.
Pili: Huwezi jua mawasiliano na binti yake yakoje, labda binti alimtaarifu kuhusu ''uwezo na ujuzi wako'' kwa mambo hayo, hivyo pambana kwa hali na Mali.
Tatu: Baina ya mama na binti huwa kuna siri kubwa sana. Hata kama mama mkwe hatokuuliza, lakini ni lazima amuulize bintiye mambo yalivyo. Huo ndiyo ukubwa, na ndiyo kujua kwenyewe.
Nne: Vita hiyo si ya mtoto pekee kama unavyodhani, na ujuzi pia huchangia kuridhika na kutulia kwa huyo mwenzio. Kama ulidhani ni mtoto pekee yake, umekosea sana, japo hilo nalo lina nafasi yake ingawa huna uwezo wa kulazimisha like kama MUNGU hajaamua.
Karibu kwenye ulimwengu wa unyumba baba.
Pambana, shamba umeshapewa.
Sent using
Jamii Forums mobile app