Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
Hongera.14 YRS NOW
BLESSED WITH 3 KIDS
TWO GIRLS AND 1 BOY
DATED MY HUSBAND FOR 9 YRS BEFORE OUR VOWS!
una swali lingine?
SI HESHIMA!Hongera.
Lakini turudi kwenye hoja ya msingi, ni heshima kwa mama mkwe kuingilia ishu za kwenye ndoa ya binti yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huu uzi ni kweli huyo mkwe hana adabu.....Heshima imepungua sana siku hizo,wakwe wamekua ni watu wa kuchezewa chezewa! Uko sahihi na next time mweleze amwambie mwanae aongeze juhudi katika huko kuhangaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mkwe wa mwendo kasiHUYU MAMA MKWE AITHER ANAJUA MWANAE ANA MATATIZO, AMA UJAUZITO WA MWANAMUME MWINGINE AU ANAKUTAKA HAYO MAMBO GANI ?KHAAAAAAAAAA
kabisa!Kama huu uzi ni kweli huyo mkwe hana adabu.....
Anataka apewe jibu aishie kuitisha kikao kuwa ametukanwa
yaani ikifika usiku anawazia mwanae anavyo pigwa miti kisa na maana ni nini?Mama mkwe wa mwendo kasi
Hahahayaani ikifika usiku anawazia mwanae anavyo pigwa miti kisa na maana ni nini?
Wazo lako kama langu bossiHUYU MAMA MKWE AITHER ANAJUA MWANAE ANA MATATIZO, AMA UJAUZITO WA MWANAMUME MWINGINE AU ANAKUTAKA HAYO MAMBO GANI ?KHAAAAAAAAAA
mambo gani haya mama huyu hana adabu kabisa bora angekuwa anaongea na bint yake sio mkwe wa kiume mfyuuHahaha
Mama mkwe sio mzima
Usishangae kama anamuuliza mwanae kama wamefanya au hawajafanya loh
Block tena. Ukimblock huyu asubuh utamkuta mlangoniMie ningempotezea....
Ila kama jingeamua kumjibu kama wewe...simple tu..... "nashukuru kwankujali...ila maswala ya kitandani (ujauzito) tafadhali sana tuachie wenyewe wanandoa"
Halafu anakula block
Ndo ninavoona aisee. Serious!Kama huu uzi ni kweli huyo mkwe hana adabu.....
Anataka apewe jibu aishie kuitisha kikao kuwa ametukanwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahaha
Mama mkwe sio mzima
Usishangae kama anamuuliza mwanae kama wamefanya au hawajafanya loh