Hongera.
Lakini turudi kwenye hoja ya msingi, ni heshima kwa mama mkwe kuingilia ishu za kwenye ndoa ya binti yake?
Sent using
Jamii Forums mobile app
SI HESHIMA!
NA NDIO SWALI LANGU LA MSINGI KABISA KWAKO!
nilihoji UHALALI ULIOONA KWA BINTI KWENDA KUSEMA UKWENI!
ukakimbilia tu elimu sijui social status!
hata sikuwa nimewaza hayo mimi!
IDEA YANGU WAS,HAKUNA MAHALI WNAANDOA WANAPATA USULUHISHI NA UELEWA WA MAMBO YAO ZAIDI YA WAKIWA WENYEWE!
UKISHAHUSISHA WAZAZI NA NDUGU SIJUI MASHEMEJI
SHIDA ZAKE NDO HIZI!
mama mkwe si wa kikeki wala kiumeni ana mamlaka ya kuhoji wanandoa wanazaa lini,wanafanyaje tendo la ndoa,wanaridhishanaje!
so hii ISINGEKUWA SAWA HATA IKITOKEA BINTI IMEMTATIZA ISINGEKUWA SAWA HATA KWENDA UPANDE WA MUMEWE NA KUSEMA KAMA NI TATIZO!
sijasema asilione ni tatizo(pENGINE KWELI JAMAA ANACHEZA MAKIDA KUSIMAMIA SHOW)
ilimpasa KAMA MKE KUZUNGUMZA NA MUMEWE!
SIO KWA MAMAKE WALA KWENDA KWA MAMA MKWE WAKE!