Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

mzee usiwachekee waletee ukauzu tu
 
tafuta shamba alfajiri 11 kwenda kulima
 
Pole bro binafsi sina cha kukushauri labda waje wazoefu wa haya madhira watuambie
 
Yaani kuna ndoa full mtihani
 
Awe analewaaa akirudi analianzisha kesho asubuhi anaondoka no story na mtu
Akifululiza wiki watajiongeza
 
Acha uchoyo. Ndugu wa mkeo ni ndugu zako. Acha gubu kaa. Mwanaume huwa haulizi ndugu wakifika onyesha kuwa ndugu yao anaishi kwa amani.
 
wewe ni mwanaume? Acha ufala timua. au unaogopa wife ndo anamkwanja mrefu kuliko wewe?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] dah
 
peleka watoto boarding january...
lalamika huna pesa na umeachishwa kazi. nunua dagaa/ maharage/unga. Tafuta nyumba ndogo. kunywa pombe hurud usiku ukifika mpige makofi wife +shusha matusi kibwena. wakistahamili kwa siku 10, basi ujue ndo basi tena au anza kugonga au wadogo zake
 
ni wazanzibar au watu watanga? au Warangi hao.. gegeda wadogo zake mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuu
 
Nilichoka mimi wadogo wakiume, mamamkwe wamegoma kuondoka,
 
wewe ni mwanaume? Acha ufala timua. au unaogopa wife ndo anamkwanja mrefu kuliko wewe?
Wife na familia yake wote wananitegemea mimi hawana kitu.
Kutimua naanzaje huo ndio mtihani, labda nimtimue na wife, bila hivyo hawa hawaondoki.
 
Huyo mkeo kama anatokea Mbeya naogopa kufikiria kinachoendelea hapo, timua hilo jemba linaitwa ‘kaka shababi’ kumbe linamla mkeo.... mvumilie bibi kwa vile ni mgonjwa ila ujiandae kugombanishwa na mkeo.
 
Tuchunguzage familia tukioa sio kuwaza mbunye tu na mikatiko. ww kwenu Dar umekulia kistarabu unaenda kuoa au kuolewa na mtu wa mkoani familia yao ichunguze inandugu wangapi je ni nani kwenye familia yao mbeba majukumu yao. Ukiona wanajimudu then oa au olewa. Sasa ww ukiona haijiwezi oa uone balaa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…