Umeeona eeehAsante sana, maana nilikuwa nawaza nitapata wapi kifungua kinywa.
View attachment 2843144
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
SeeeeeeeChai yako imezid viungo
Yaani acha tuuuKwa ma sheikh, naona unaelekea kuvuruga ndoa yako, ila siamini kama Mama Mkwe anaweza kukupiga ukakaa kimya, wewe, na Mume wako ni wehu, na Mama mkwe ni kichaa.
NimeolewaKumbe we pisi
Haaaaa kumbe ni mwanamkeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji27][emoji27][emoji27]Bichwa komwe demu wa kiume...
Meaning femaleNimeolewa
ππππππππππBichwa komwe demu wa kiume...
EGGZACTLYMeaning female
Pisi kaliii π²π²Haaaaa kumbe ni mwanamkeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji27][emoji27][emoji27]
TukuonePisi kaliii π²π²
Nenda kamloge masikio, asiwe anasikia unacho ongea , ππKiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa.
Kabla ya ujio wake, nyumbani kwangu palikuwa swalama waswalamanta. Lakini tangu aje hapa pamegeuka kibiti, ananinyuka kama kifaranga.
Ana gubu kali, ukikohoa anasema unamcheka, anakubutua na mwiko. Nimevimba kila mahali, uso wangu umehorojoka.
Sijui hata nifanyeje kwa kweli. Nimeenda kwa mashekhe lakini haijasaidia.
Sura yake ndio hiyo hapo kwenye DP yangu, ananikera na venye ana komwe basi tafrani, usiombe akupe moja ya kichwa unasambaratika.
Mwenzangu hayupo kasafiri kikazi, natamani kwenda kuripoti geshi la polisi.
...Hujitambui! Mama Yako Mzazi Mwenyewe alikuwa habamizi ! Unaruhuduje Mama Mkwe akubamize ??? [emoji57][emoji57] AMKA !Kiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa.