Mama mkwe wangu ananitandika na kunitesa vikali

Una umri gani dogo??? Nisije kutoa jibu lenye hadhi ya 40years wakati muhusika ni 20yrs.
 
Kiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa.

Kabla ya ujio wake, nyumbani kwangu palikuwa swalama waswalamanta. Lakini tangu aje hapa pamegeuka kibiti, ananinyuka kama kifaranga.

Ana gubu kali, ukikohoa anasema unamcheka, anakubutua na mwiko. Nimevimba kila mahali, uso wangu umehorojoka.

Sijui hata nifanyeje kwa kweli. Nimeenda kwa mashekhe lakini haijasaidia.

Sura yake ndio hiyo hapo kwenye DP yangu, ananikera na venye ana komwe basi tafrani, usiombe akupe moja ya kichwa unasambaratika.

Mwenzangu hayupo kasafiri kikazi, natamani kwenda kuripoti geshi la polisi.
Nenda kamloge masikio, asiwe anasikia unacho ongea , 😀😀
 
...Hujitambui! Mama Yako Mzazi Mwenyewe alikuwa habamizi ! Unaruhuduje Mama Mkwe akubamize ??? [emoji57][emoji57] AMKA !

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom