Mama Mkwe wangu ananivunjia heshima

Mtu hudharauliwa au hutawaliwa kwenye himaya yake kutokana na yeye alivyojiweka,ukisimama kama Mwanaume mwenye mji basi hakuna mtu atakuletea dharau za aina hiyo,jitafakari kisha chukua hatua,huyo Mama mkwe anakufanyia hivyo coz ameshakusoma kua hujaisimamia Nyumba yako kianaume.
 
Hiyo sentensi ya mwisho ndo UENDELEE NAYO!
 
Mule tunda tu atakuheshimu sana maana hakuna namna
 
" safarini naenda Malinyi huyu mama katika chumba chetu alileta mwanaume maana yeye hajaolewa
Hapa ndo penye tatizo la ndoa yako ,usithubutu kuoa familia ambayo mwanmke kalelewa na mama tu, unless iwe aliolewa huyo mama na kwa bahati mbaya akafiwa mume, Ila kama mama mkwe wako ameishi maisha ya kisimbe tangu mwanzo au alivunja mji na kuanza kuishi peke yake hakika umeumia, una muda mchache sana wa kuishi na huyo mkeo.

NOTE: huu ni mtazamo wangu yawezekana isiwe hivyo ninavyoamini mimi
 
Tuma picha ya mama mkwe wako kwanza tuonane tatzo lipo wapi
 
Inasemekana kuoa familia isiyo na baba ni changamoto sana. Yaani usioe kutoka kwenye familia ya single mom. Watoto wanakuwa bila malezi sahihi. Huyo mkeo ni swala la mda tu.
 
Huyo Mwanamke na Mke wako wote wanakuendesha.

Mke wako ndio anatakiwa anadeal na Mama yake.

Wewe hutakiwi ku interact naye kitu chochote
 
Huyo single bibi mpe mwongozo wa kitemi. Siku nyingine usitooe tenda Kwa mashemeji
 
Temana nae mazima akizidisha nyenyenyee mwachie na bint yake, ukoo wa kishezi usikunyime raha kisa ndoa.
 
Huyo mama mkwe ni kiboko hatari,mtimue hapo nyumbani. acha kuishi katika woga.
 
Safi sana,hiyo ndio formular ninayotumia lakini washkaji wananiona kauzu,na sio mama mkwe tuu bali baba mkwe pia,maswala ya kuzoeana kwenye simu marufuku.
 
Aisee we ni bonge la kiazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…