Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Dishi lake likafanyiwe re-alignment kwenye hospitali kongwe DodomaAkiwa anafahamu kabisa kwamba nipo safarini naenda Malinyi huyu mama katika chumba chetu alileta mwanaume maana yeye hajaolewa nilifika usiku kwa changamoto za usafiri pale nakuta anajivinjari nililazimika kulala Lodge asubuhi mapema niliamkia pale nyumbani nikabadili nguo nivae za kwendea shamba bado nikamkuta hawara yake yupo.