Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Dai hajaoa wewe,na alikana ndio kwanza ana 28 na hajaoa hebu hiyo kauli futa,
kwanini msilaumu pia daimond mnalaumu hamisa utafikiri alimbaka nyie vipii

Hivi alianzaga kumtukanaje,,??zaidi ya zari kumuita mwenzie maneno ya ajabu yaan asijibu kisaa

Teh..sawa hajaoa ila at least tulianza kumfahamu zari kabla ya hamisa kutoka mdomoni kwake.
 
Dai hajaoa wewe,na alikana ndio kwanza ana 28 na hajaoa hebu hiyo kauli futa,
kwanini msilaumu pia daimond mnalaumu hamisa utafikiri alimbaka nyie vipii

Hivi alianzaga kumtukanaje,,??zaidi ya zari kumuita mwenzie maneno ya ajabu yaan asijibu kisaa
Diamond kwani ndie victim hadi tumlaumu? Tunawalaumu hao wanawake wanaokubali kuchezewa akili na kutumika na familia ya Diamond. Zari na Hamisa hawajitambui ndo maana kila mdundo wa Diamond wanaucheza.
 
Nimechoka kuqoute watu wote halaf nimekuja kuoanray kaandika nami nishashusha post

Wanamuonea mno hamisa anaitwa kila aina ya majina
Utafikiri zari malaika wakati nae shetani tu kama misa

Kawaida tu..aliyataka.
 
Hebu nipe elimu ya zari ipi ??ya vipodozi au?? Huwezi kuwalinganisha kina omotola na zari wewee wale wanawake wametuliaaa haswaa wala hawahitaji kiki ni oazi zao zinawatambulisha,zari akinunua hata pazia anataka dunia ijue ushaona hata chumba cha omotola anacholala kakipiga picha acha kufananisha uzima na ufu

Mambo ya kunyakuliana ni kawaida sio ya ajabu yalikuwepo yataendelea kuwepo
Zari alienda kulia bbc angependwa angeheshimiwa we anatumwa babu tale badala ya mama yake nyie hamumjui dai ana dharau sanaa
 
Dyudy ya daimond ukishaionja hakuna kutoka nadhani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mimi ambacho sipendi ni ile kumsimanga hamisa eti zari anaonekana mzurii weweeeee wote wachafu tena zari kamzidi hamisaa,nakataaaa
 
Mimi ntasimanga Hamisa mpaka kesho kwa kosa la kukubali kutumika na Diamond kumkomesha Zari.
 
Nimechoka kuqoute watu wote halaf nimekuja kuoanray kaandika nami nishashusha post

Wanamuonea mno hamisa anaitwa kila aina ya majina
Utafikiri zari malaika wakati nae shetani tu kama misa

Kwahiyo Zari ndio kipimo? Kama Zari malaya basi it is ok for Hamisa kuwa malaya?

Mnashindwa kuelewa. Hapa hasemwi Hamisa kwa kua ni malaya, hapa anasemwa Hamisa kwamba she does not deserve any sympathy. She did everything kwa matakwa yake, so she should now pambana na hali yake. Mama yake aache kuomba sympathy as if Hamisa alibakwa. Na kwa jamii yetu, hata kama watu kama nyie mnatetes kutembea na kuzaa na bwana ambae anajulikana ana mwanamke wake ambae ndio amemtambulisha kwa jamii na anashirikiana nae kijamii, kuwa ni sahihi ili tu kuonyesha chuki kwa mwanamke wa huyo bwana, bado kuna watu katika jamii hawawezi kupongeza jambo hili na ndio maana ataendelea kutukanwa. Tunachosema sisi, ni kwamba haya yote kajitakia mwenyewe na kwavile alisema her pussy is so good Zari wants to fight her, well then Mama yake apambane na hiyo pussy iwasaidie.
 
Hujanielewa nimefaninisha mademu wa bongo movie na nollywood
 
Hapo sasa... mbona mrs machache alimpundua rafiki yake yule madamu shombe shombe akala kimya kimya bila kelele na kaishia kupata vitu vya maana anakula maisha
Hata zari alitakiwa atulie kuwa na daimond sio kulisha ndimu watu utafikiri ndio mgeni wa dyudyu mambo yakamgeukaa ndiiiiii
 
Mimi ntasimanga Hamisa mpaka kesho kwa kosa la kukubali kutumika na Diamond kumkomesha Zari.
Na huu ndio ujinga alioufanya alitakiwa amwache mond apambane na mtu wake asingekubali kutumika kama chambo mwisho wa siku hawezi epuka hayo matusi anayotukanwa kila kona. Mwenzie hapo alikuwa anapunguzia stress yeye akaona kapata na vijembe juu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hawataki kuelewa atiiii. Umalaya wa Zari hauhalalishi na umalaya wa Mobetto atiiii
 
Bado watabisha..kuwa tunamuonea wivu tu kwa kuwa katoboa kimaisha..ndio hatua tuliyofikia.
 
Ndio mumseme ja zari tunachoka kusikia ya hamisa tu utafikiri hamisa kaua ,hata zari alikuja kwa mbwembwe na kuzaa haraka haraka ilikuwa matakwa yake lakin bado akatupwa kule,,mlaumuni na daimond maana hamisa hajazaa mwenyewe

Unavyosema hastahili unamaanisha mlitaka asi..... au awe sister maisha yake yote

Sitetei watu kuzaa na waume za watu au mabwana za watu hata nikisimama kupinga hakuna atakaenisikiliza kuna watu wanapenda kuwa na waume za watu ndio furaha yao hayajaanza leo haya,,na wanaume ndio wachonganishi kwani wao hawatakiwi wafunge zipu zao mlaumuni na daimond kwani alibakwa mpaka mumuone misa mbayaa acheni mambo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…