Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Hapa hatumtetei mtu zari aliyataka mwenyewe kuwa na msanii,.. na akirudiana nae bass atakuwa mjinga
Tatizo hamisa alishakosea step moja nyuma avune alichokipanda na sio kulia kulia .. mbona ye wakati anamkomesha zari mwenzie alikuwa kimya,mpira ukirudi kwa kipa kidogo tuu anaanza kulia lia kwani zari kamuita mond south si kaenda mwenyewe analia nini sasa badala ya kulea iyo mimba na sio kumtishia mond kwamba hii mimba nitaitoa ukienda kwa zari
 
Hivi hata kama ubakwi ndio unazaa zaa ovyo na wanaume za watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio muwe sawa sio kuona mabaya ya mmoja tu
 
Teena atahesabu na kutangaza kuwa kwenye mahusiano nawe siku uliyomtongoza akakutosa
Humu ndani ndio nimejua akili za wanawake duniani zikoje.nimesoma post zote nikagundua mwanamke uliemtongoza akazingua mwisho wa siku ukipata dem ataanza kujisogeza na yeye!ahaaa nishawajua wanawake
 
Hivi hata kama ubakwi ndio unazaa zaa ovyo na wanaume za watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazaa ovyovyo wapi,,watoto wawili tu ndio kuzaa ovyoovyo zari mwenye watano sijui sita tumuiteje au zari kazaa na mwanaume mmoja?
 

Lakini ndio hivyo bwana Dai will not claim Hamisa. He claims Zari, but he cannot even support Hamisa's business. This should be enough to tell you , what you are trying to justify by throwing mud at Zari is only a fantasy. If Dai respected Hamisa, he would not let her go through this, na asingesubiri Hamisa avujishe picha ndio akubali mtoto ni wake. Hivi how do you compare how Dai treats Zari and how he treats Hamisa? Dai ni mshenzi but at the same time Dai kama wanaume wengine, anataka mwanamke ambae anajua wanasaidiana na wanajengana. Just because Hamisa is young na ana body nzuri does not make her the ideal woman? Mbona Majizo hakukaa nae? HIvi mmeshajiuliza? Mwanaume hachukui mwanamke awe mwenza wake just because she has a great body and is young, there is so much more than just a sexy body. Some men love the brain too. Yes, a woman with a brain, who contributes either kwa mawazo au emotionally. And this is where I understand Dai and his family. Ukitaka kujua Dai anamwona Hamisa kama msuuza rungu, aliposema "bitch is dying for fame". He already knew Hamisa was after fame and fame only. Meanwhile, Zari loves fame BUT she uses fame to make money for both herself, their children and Dai himself. And this is why Dai will always go back to Zari until Zari decides she no longer wants him.
Huyo Hamisa, msaidieni kwa kumjenga kiakili na kimawazo. And guys, stop saying she is 23. How is she 23 now when last yr she said she had been with Dai for 9 yrs, embu piga hesabu, how old was she when she started sleeping with Dai?
 
Na huu ndio ujinga alioufanya alitakiwa amwache mond apambane na mtu wake asingekubali kutumika kama chambo mwisho wa siku hawezi epuka hayo matusi anayotukanwa kila kona. Mwenzie hapo alikuwa anapunguzia stress yeye akaona kapata na vijembe juu.
Yani yeye alitakiwa apite kimya kimya wakati mwenzake ananyolewa na Diamond. Ila akaja na matashtit utasema ye ndo mwanamke wa kwanza kulalwa na Diamond. Haya sasa kiko wapi? Video zikatapakaa mitandaoni kwamba akiachwa Zari aachike sasa hivi karudiwa yeye kadumpiwa anataka tumuonee huruma. Nilimuone huruma alivyokanwa na Diamond kama vile alifanya dhambi kuzaa nae ila kwa hili kalitaka asitafute huruma yetu
 
Wasipoelewa hapa basi tena [emoji23][emoji23] Beautiful with Brain ndio kinachotakiwa.
 
Muuseme umalaya wa zari mbona mnausema wa misa tu
Basi Zari ni Malaya mwenye akili. Mwambieni na Hamisa ajifunze kutafuta hela siyo kuzaa tu na wanaume za watu mwisho wa siku wanarudi kwa wanawake zao. Leo majizo anaoa Mond Karudi kwa Zari yeye kapata nini? Watoto tu?

Sikuzote mwanaume anaoa mwanamke mwenye akili hizo Appearance hazileti hela ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…