Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Sasa msamaha kwa kosa gani? kwani ina maana wengine hawakuwai kutukanwa kwa sababu ya mwanae? mwanae anaogopa matusi halafu ustaa anaupenda bila kusahau kiki hahahhaha
Huyu Mama pengine amechanganyikiwa....hivi kwa mchezo aliohamua kucheza mwanae alitegemea apate nini zaidi ya hayo? Yeye alitakiwa kujua mapema matokeo ya mchezo anao ucheza mwanae......
Kutafuta huruma za kuomba msamaha ni upumbavu tuu...... mwanae ana vuna alichopanda...
Matusi ndio malipo ya kazi anayoifanya mwanae kwa hiyo kama anaogopa matusi ampe taarifa mwanae abane miguu...
Huu ni uchizi tuuu hakuna cha kuumwa tumbo la uzazi wala nini ni upumbavu tuuu...
Naamini unaandika kidole kikiwa juu hahaha wanaume wa darisalama!
 
Hivi hamisa alikuwa na Majizo kipindi gani na alikuwa na Diamond kipindi gani tena kabla ya Zari? Mimi mbona hesabu za Hamisa kuwa na Diamond kabla ya Zari bado sijazielewa?

Good question. Apparently alikua na Mondi for 9 yrs. According to some people Zari alimkuta Mondi na Hamisa..lol! Mind you, Hamisa has a 3 or 4 yr old na Majizo. Dai alikua na Wema, Penny, Jokate kwa nyakati tofauti huko nyuma. Someone is not telling the truth.
 
Trust me hata Zari hajafikia hiyo beautiful with brain basi tu tunamkuza sana kwa hiyo title ya boss lady ambae ukiuliza business zake 3 tu hamna mtu anataja
Ana nyumba 2 south africa na uganda moja zake mwenyewe na pia ni mmiliki mwenza wa college huko aouth ..ivan anavyuo 30 south icho kimoja ndo alikuwa ana share na zari umiliki na kina matawi pia ,zari alipoachana na ivan hawakugawana mali zozote zilibaki chini ya usimamizi wao wote
 
na pia alikuwa na duka la vito vya thamani ug,zari all white party chini yake,alikuwa na reality show zamani
 
Hebu viweke hivyo vyuo 30 tuvione!!!kwanza ni vyo vya kata
 
Ana nyumba 2 south africa na uganda moja zake mwenyewe na pia ni mmiliki mwenza wa college huko aouth ..ivan anavyuo 30 south icho kimoja ndo alikuwa ana share na zari umiliki na kina matawi pia ,zari alipoachana na ivan hawakugawana mali zozote zilibaki chini ya usimamizi wao wote
Okay boss lady kama yeye ni nini anachong'ang'ania kwa mwanaume anaemdhalilisha kama Diamond?
 
na pia alikuwa na duka la vito vya thamani ug,zari all white party chini yake,alikuwa na reality show zamani
Hivyo vyote umevitaja vya chini vimekufa. Nyumba ya South ile amepangishiwa na Diamond inayomilikiwa na Kinje au aliyoachiwa na Ivan?
 
Hadi hapo alipofikia ni akili tosha. Akothee mwenyewe hajafanya kazi kubwa katumia akili kujikusanyia utajiri alionao chezea powe of p bila kelele.
Trust me hata Zari hajafikia hiyo beautiful with brain basi tu tunamkuza sana kwa hiyo title ya boss lady ambae ukiuliza business zake 3 tu hamna mtu anataja
Akili ipi jamani ya Zari?
 
Hivi hamisa alikuwa na Majizo kipindi gani na alikuwa na Diamond kipindi gani tena kabla ya Zari? Mimi mbona hesabu za Hamisa kuwa na Diamond kabla ya Zari bado sijazielewa?
Hahahahahahaaaa Huyo mdangaji alikuwa nao woteee. Jibu rahisi mbona
 
Hadi hapo alipofikia ni akilo tosha. Akothee mwenyewe hajafanya kazi kubwa katumia akili kujikusanyia utajiri alionao chezea powe of p bila kelele.
Akothee alidanga akajimilikisha. Zari kiukweli ukiacha ile party yake iliyokuaga sponsored na Kina Ivan, Duka la nguo na reality show ambavyo vimekufa kitu ninachojua anamiliki ni share kwenye chuo chao tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mzingua bana,zari yupo london saiv kwa maandalizi ya zari all white party na soon na tv show yake.
Hee mwenzangu ile nyumba si ilikua inauzwa na kibao kikawekwa mtandaon,mara hii imekua ya kinje aisee
Hivyo vyote umevitaja vya chini vimekufa. Nyumba ya South ile amepangishiwa na Diamond inayomilikiwa na Kinje au aliyoachiwa na Ivan?
 
Kwani lazima akutangaze hadharani na hajakuoa jamanii,,mbona ndio vizurii,,halaf huyo zari mbona maduka yote yalikufa au kipindi hicho akili zilikufa au ,kumbuka pia wanaume wanahitaji kumlea mwanamke na sio mwanamke amlee mwanaume yaan utafikiri zari anampa pesa daimond au kuna kitu kakifanya dai akawa hapa alipo ,kwani kukaa na mwanauke muda mrefu ndio kuwa na akili au,si mnaweza kukosana tu ulidhani kuachana na majizp hamisa ndio mbaya au ,mbona zari na umri ule hata ndoa tu hakuna mpaka anageuzwa video vixen anaolewa kwa video

Hakuna nakataaa,unataka kusema hamisa ana miaka mingapi!?30??

Hujui unachokizungumza mama..endelea kutetea unachoamini.
 
Sasa atamwambia nini wakati hamisa ndo boss kila anapopangishiwa anahamia na mama ake.
Yani mimi ananikasirisha angekua ndugu yangu ningemtia mabao akili imjie. Wakati mwingine anajikosesha bahati za maana kung'ang'ana kwa mtu anaemtumia kulipizia kisasi
 
Alikua mwanamuziki huko uganda. Na zari kapata kujimilikisha pia kama akothee,watu wanasingizoa mali za watoto lakin tujiulize kwan wale watoto sio wa zari? Kumiliki hisa napo mtaji tosha sana. White party ipo sana,tv show anaifufua hivi karibun. Na pia usisahau ana ubaloz danube na zile pampaz
Akothee alidanga akajimilikisha. Zari kiukweli ukiacha ile party yake iliyokuaga sponsored na Kina Ivan, Duka la nguo na reality show ambavyo vimekufa kitu ninachojua anamiliki ni share kwenye chuo chao tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mzingua bana,zari yupo london saiv kwa maandalizi ya zari all white party na soon na tv show yake.
Hee mwenzangu ile nyumba si ilikua inauzwa na kibao kikawekwa mtandaon,mara hii imekua ya kinje aisee
Basi ya Kinje mwaya ile ya South na Diamond ndo analipa kodi pale. Kama akili ya kurudisha vitu vyake imemjia ni vyema akimaliza hayo aachane na kale ka https://jamii.app/JFUserGuide boy Diamond ntaanza kumuheshimu tena na yeye
 
Back
Top Bottom