Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kuzaa na mume wa mtu kwa siri au hadharani ni uzinzi tu dhambi ni ile ile!Unazaa na mume wa mtu kumkomoa mkewe + unamtukana mkewe+ badae unatafuta huruma= stupidity at its highest level.
Kwa niliowahi kuwaona (na sio ndugu zangu) wana heshima kwa hao waliowekwa ndani..pengine mtoto anafika hata miaka 9 huko mke hajui..hadi baba aamue mwenyewe kujishtaki kwa mkewe. Ila sio huyo mwenzenu kumuumiza mwenzie kwa makusudi akiamini yeye ni bora sana..endeleeni kumpa support, that's all she needs right now asije akajiua bure.
'Anayeua kwa upanga...'
Mtu anaejitambua hawezi kuzaa na Mme wa mtu!
Mwanamke wake ambae hajakutolea mahari au uchumba huyo sio mke ni hawara tena wewe unaeziniwa hadharani unapata dhambi kubwa kuliko aliyezini kwa siri!
Hivi kwa nini ukubali kuzaa na Mme wa mtu.. Halafu ukae kimya ule[emoji3][emoji16][emoji16]huu ndo ujinga sitamani hata kuuwaza ktk maisha yangu!
Yaani baba asijiachie na mtoto kisaaa...wanawake aliyesema mwl wetu kipofu ana maana kubwa!