Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Unazaa na mume wa mtu kumkomoa mkewe + unamtukana mkewe+ badae unatafuta huruma= stupidity at its highest level.

Kwa niliowahi kuwaona (na sio ndugu zangu) wana heshima kwa hao waliowekwa ndani..pengine mtoto anafika hata miaka 9 huko mke hajui..hadi baba aamue mwenyewe kujishtaki kwa mkewe. Ila sio huyo mwenzenu kumuumiza mwenzie kwa makusudi akiamini yeye ni bora sana..endeleeni kumpa support, that's all she needs right now asije akajiua bure.


'Anayeua kwa upanga...'
Kuzaa na mume wa mtu kwa siri au hadharani ni uzinzi tu dhambi ni ile ile!
Mtu anaejitambua hawezi kuzaa na Mme wa mtu!

Mwanamke wake ambae hajakutolea mahari au uchumba huyo sio mke ni hawara tena wewe unaeziniwa hadharani unapata dhambi kubwa kuliko aliyezini kwa siri!

Hivi kwa nini ukubali kuzaa na Mme wa mtu.. Halafu ukae kimya ule[emoji3][emoji16][emoji16]huu ndo ujinga sitamani hata kuuwaza ktk maisha yangu!

Yaani baba asijiachie na mtoto kisaaa...wanawake aliyesema mwl wetu kipofu ana maana kubwa!
 
Watu wengi huwaga wanamuona Zari malaika. Kiukweli Zari na Hamisa wanatofautiana miaka na idadi ya nani katembea na wanaume wa nchi gani zaidi. Ila wote ni misukule ya Diamond yani hamna mwenye unafuu. Hamisa hatumuhuku ila alishajua anachoenda kukifanya kwanini asiwe mpole akala kwa nafasi? Sawa Diamond hajaoa lakini alishasema anamdate fulani ukiingia kati unaonekama kivuruge. Hamisa amefeli sana yani kumkubalia Diamond hata baada ya kumdhalilisha. Kibaya zaidi na huyu bibi wa kisouth na yeye masimango yote alopewa na Diamond na familia yake na yeye kamsamehe Diamond. Wanawake wa Diamond sijui wanakulaga yamini maana sijawahi kuelewa wanarudigi kufanya nini hata baada ya kudhalilishwa wanang'ang'ana tu kama mang'ombe
Nimesema maneno kama haya kwenye post za mwanzo lakini watu hawataki kuelewa ""usikute kuna watu wenye akili kama hiyo misukule Humu ""... so kuelewa kwao ningumu mnooooo
 
Lakini ndio hivyo bwana Dai will not claim Hamisa. He claims Zari, but he cannot even support Hamisa's business. This should be enough to tell you , what you are trying to justify by throwing mud at Zari is only a fantasy. If Dai respected Hamisa, he would not let her go through this, na asingesubiri Hamisa avujishe picha ndio akubali mtoto ni wake. Hivi how do you compare how Dai treats Zari and how he treats Hamisa? Dai ni mshenzi but at the same time Dai kama wanaume wengine, anataka mwanamke ambae anajua wanasaidiana na wanajengana. Just because Hamisa is young na ana body nzuri does not make her the ideal woman? Mbona Majizo hakukaa nae? HIvi mmeshajiuliza? Mwanaume hachukui mwanamke awe mwenza wake just because she has a great body and is young, there is so much more than just a sexy body. Some men love the brain too. Yes, a woman with a brain, who contributes either kwa mawazo au emotionally. And this is where I understand Dai and his family. Ukitaka kujua Dai anamwona Hamisa kama msuuza rungu, aliposema "bitch is dying for fame". He already knew Hamisa was after fame and fame only. Meanwhile, Zari loves fame BUT she uses fame to make money for both herself, their children and Dai himself. And this is why Dai will always go back to Zari until Zari decides she no longer wants him.
Huyo Hamisa, msaidieni kwa kumjenga kiakili na kimawazo. And guys, stop saying she is 23. How is she 23 now when last yr she said she had been with Dai for 9 yrs, embu piga hesabu, how old was she when she started sleeping with Dai?
Umemaliza wasipoolewa basi ubishi upo Kwenye damu.
 
ZARI JESHI LA MTU MMOJA KACHANGIWA NA WENGI MWISHO WA SIKU WAMEMSHINDWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Watu wengi huwaga wanamuona Zari malaika. Kiukweli Zari na Hamisa wanatofautiana miaka na idadi ya nani katembea na wanaume wa nchi gani zaidi. Ila wote ni misukule ya Diamond yani hamna mwenye unafuu. Hamisa hatumuhuku ila alishajua anachoenda kukifanya kwanini asiwe mpole akala kwa nafasi? Sawa Diamond hajaoa lakini alishasema anamdate fulani ukiingia kati unaonekama kivuruge. Hamisa amefeli sana yani kumkubalia Diamond hata baada ya kumdhalilisha. Kibaya zaidi na huyu bibi wa kisouth na yeye masimango yote alopewa na Diamond na familia yake na yeye kamsamehe Diamond. Wanawake wa Diamond sijui wanakulaga yamini maana sijawahi kuelewa wanarudigi kufanya nini hata baada ya kudhalilishwa wanang'ang'ana tu kama mang'ombe
[emoji3][emoji16][emoji16]nimekupenda mkwe wangu ila 'ushawahi kupenda katika maisha yako?'
 
Mama_mobetto
Mama_platnumz
Mama_john pombe
Mama_janet
Mama_reginald mengi
Safiria nyota.
 
Diamond kwani ndie victim hadi tumlaumu? Tunawalaumu hao wanawake wanaokubali kuchezewa akili na kutumika na familia ya Diamond. Zari na Hamisa hawajitambui ndo maana kila mdundo wa Diamond wanaucheza.
Yaap!wote wapumbavu hapo nakubali sawa kabisaa...maana wanachezewa kama pipi tu!

Kati yao hakuna mwenye akili wako kimaslahi zaidi!!

Kusema missa au zari mmoja wapo sijui mjinga ni uonevu!..Wote wajinga
 
Hebu nipe elimu ya zari ipi ??ya vipodozi au?? Huwezi kuwalinganisha kina omotola na zari wewee wale wanawake wametuliaaa haswaa wala hawahitaji kiki ni oazi zao zinawatambulisha,zari akinunua hata pazia anataka dunia ijue ushaona hata chumba cha omotola anacholala kakipiga picha acha kufananisha uzima na ufu

Mambo ya kunyakuliana ni kawaida sio ya ajabu yalikuwepo yataendelea kuwepo
Zari alienda kulia bbc angependwa angeheshimiwa we anatumwa babu tale badala ya mama yake nyie hamumjui dai ana dharau sanaa
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]eti msomi wa wapi labda?
[emoji3][emoji16][emoji16]sema anadanga kiakili mnoo!
Wengi tunatamani hata kama tunadanga tuwe kama yeye!
 
Kama hakujifunza wakati anadai child support mama hatajifunza tena keshakua kenge
Ila Hii ya sasa hivii kiboko kichambo Kuanzia mama Mkwe, mawifi, mameneja mpk Wafanyakazi wa chini asipopata akili ndio basi Tena.
 
Na huu ndio ujinga alioufanya alitakiwa amwache mond apambane na mtu wake asingekubali kutumika kama chambo mwisho wa siku hawezi epuka hayo matusi anayotukanwa kila kona. Mwenzie hapo alikuwa anapunguzia stress yeye akaona kapata na vijembe juu.
Hivi unafikiri kwa akili za bongo muvi nani anaweza toa mimba ya mondi?[emoji3][emoji16]tuwe wakweli
 
Hivi lakini huyo jamaa yenu nae mbona havai soksi? ?
Yani anajua hampendi lakini bado anatembea nae peku peku kwa maana anamuamini na kaona anafaa kuwa mama wa mtoto wake. Ndio mana ya akaenda peku hadi kummimbisha.

Wewe utakua ni mgeni wa wanaume, i guess. Pia nimesema Dai sio msafi katika hili. Dai or Mama yake hawajaenda mtandaoni kuomba huruma. Hamisa na Mama yake ndio wana play victims kwa hili. Both Dai na Hamisa are to blame here. Ila Hamisa cannot pretend as if she did not know what she was doing. If she did not want matatizo ange insist Dai avae mpira.
 
Huyu mama na mwanae kama machizi muda wa kudanga kurusha vijembe mama haoni, yakimrudia anarudi kwa huruma ooh Mungu anapanga, ni Mungu kapanga huyo Mungu anaepanga uzinzi ni yupi???
Watulie tu wanyooshwe that's karma
View attachment 795441 View attachment 795441
Eheeeee we ndo umeonesha wazi upuuzi wa huyu maza na mwanawe...
.wapambane na ujinga wao kwakweli
 
Ndio mumseme ja zari tunachoka kusikia ya hamisa tu utafikiri hamisa kaua ,hata zari alikuja kwa mbwembwe na kuzaa haraka haraka ilikuwa matakwa yake lakin bado akatupwa kule,,mlaumuni na daimond maana hamisa hajazaa mwenyewe

Unavyosema hastahili unamaanisha mlitaka asi..... au awe sister maisha yake yote

Sitetei watu kuzaa na waume za watu au mabwana za watu hata nikisimama kupinga hakuna atakaenisikiliza kuna watu wanapenda kuwa na waume za watu ndio furaha yao hayajaanza leo haya,,na wanaume ndio wachonganishi kwani wao hawatakiwi wafunge zipu zao mlaumuni na daimond kwani alibakwa mpaka mumuone misa mbayaa acheni mambo yenu
Tukianao nae alizaaa kumkomesha Wema ukweli ndo huo!na alizaa akijua Diamond atatulia [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1]hapo ndo alibugi aiseehh!

Sasa kumbe pembe la ng'ombe halifichiki!

Alibugi mnoo kujibebesha mimba ndani ya mwezi mmoja akijua anakomoa Wabongo mbaya zaidi akabeba fasta fast a

Wanawake na siye tupunguze ujuha kumzalia mwanaume sio kigezo cha kupenda au kuolewa jamani
 
Back
Top Bottom