Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Hivi unafikiri kwa akili za bongo muvi nani anaweza toa mimba ya mondi?[emoji3][emoji16]tuwe wakweli
Sasa Hivi hali ngumu bongo movie hawatoi mimba Ovyoo waambulie child support Sio Kama Wa Zamani mtu Abeee mimba atadanga saa ngapi?? Siku Hizi madanga yametulia na familia Zao
 
Hilo moja lisifanye ndo aonekane yeye Malaya aliyekubuhu mpk eti kuona Zari msafi au malaika
Hapana kwenye umalaya wake sitii neno maana Hamisa bado mchanga sana kwenye game la umalaya ukimcompare na Zari. Shida yangu kwa hawa watu wawili ni kuhusu Diamond tuu hamna lingine
 
Zari nae alibugi bwanaa hivi ndugu yangu we hapo umekutana na mtu Leo mwezi mmoja mimba kaaah!

Akili matope!Mtoto hajatembea mimba ya pili[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]yaani sie wanawake bwana!
 
rekebisha hapo juu" diamond hajawahi kuwa mume wamtu "" Au kibongo bongo watu wakifanya umalaya "" muda mrefu basi wanakuwa tayari ni wana ndoa ""...?

My dear..hivi mnalikataa hili kwa kuwa ni Dai au? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnanichekesha mnavyotumia nguvu..anyway.
 
Ila Hii ya sasa hivii kiboko kichambo Kuanzia mama Mkwe, mawifi, mameneja mpk Wafanyakazi wa chini asipopata akili ndio basi Tena.
Sasa wanaelewaga kwani?? Wema nae si alichambwaga na wote? Ila wakishikwa mkono kidogo wanasahau yote. Sijui ni fame au ndo mahaba au njaa zao ndo maana wanajishusha hivyo sielewi kwa kweli
 
Maelezo ya huko juu wala siyahitaji kibongo bongo hapa tuwe wakweli wangapi hawajatolewa bikra sekondari?!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
 
Basi ya Kinje mwaya ile ya South na Diamond ndo analipa kodi pale. Kama akili ya kurudisha vitu vyake imemjia ni vyema akimaliza hayo aachane na kale ka **** boy Diamond ntaanza kumuheshimu tena na yeye
zari ana nyumba zake 2 mbali na iyo anayoishi sasa
na kwa taarifa yako iyo nyumba siyo ya kinje wala dai ni ya zari na alikuwa alinunua mwenyewe na kujifanya dai kamnunulia ili kuwarusha roho wa kama kina misa na nyumba ya madale zari alitoa dola laki moja ili ifanyiwe finishing na funture alinunua yeye south ,mademu wa bongo wa kaanza kushoboka kwa dai wakijua ana hela kumbe anahongwa na jimama
 
Hata Zari wala hapendwi basi tu Diamond anamuonea haya kwa kuwa baby mama number one na management yake inamtaka ila kama anajidanganya anapendwa atakua mjinga mwingine
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]unaniacha hoii ujue
 
Trust me hata Zari hajafikia hiyo beautiful with brain basi tu tunamkuza sana kwa hiyo title ya boss lady ambae ukiuliza business zake 3 tu hamna mtu anataja
Atleast yeye kuliko huyo Mobetto.
 
Zari nae alibugi bwanaa hivi ndugu yangu we hapo umekutana na mtu Leo mwezi mmoja mimba kaaah!

Akili matope!Mtoto hajatembea mimba ya pili[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]yaani sie wanawake bwana!
Unadhani ilikua bahati mbaya ile?? Mbona mimba za yule baunsa wa Uganda alikua anazitoa. Alipiga mahesabu yake vizuri. Akaona kijana anashida ya watoto na yeye mayai anayo kwanini asiendelee zake kujilia child support kuliko kubanana na Getu kwa Katunzi
 
Kwa taarifa yako na huyo alienda kufanya matangazo ya break up mpaka BBC na kuonyeshwa bwana anakiss na Wema kwenye show bado akaonyeshwa video za kina Hamisa nae karudisha majeshi. Ila sisi kweli mwalimu wetu kipofu
Yaani wanawake sie hapana kaah!

Ila Zari ana plan yake bwanaa mi siamini kirahisi hv
 
My dear..hivi mnalikataa hili kwa kuwa ni Dai au? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnanichekesha mnavyotumia nguvu..anyway.
Hapana sipo huko "" nadhani unajua taratibu ambazo watu huwa wanapitia mpaka kufikia hatua ya kuwa Mume na mke "" so hao unawapa sifa hiyo bado hawajaitekeleza .....labda utuambie kuwa sheria ambazo tunazijua zinazo halalisha ndoa zitakuwa zimebadilishwa au kuongezwa nyingine "".... zaidi ya zile ambazo tuna zijua...

NDOA YA KIDINI (CRISTIAN.MUSLIM .BUDHA. ETC)
NDOA YA KIMILA
NDOA YA BOMANI ".......... so sidhani kama victims walipitia taratibu moja wapo katika hizo ""....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…