Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Hahaaaaa halili matunzo analilia tamu ya Domo
Napata mashaka hata ile child support ilikua kumvuta Diamond karibu baada ya kuwa anapewa pesa tu akataka na baba awe anaenda nyumbani ili amtege vizuri amzalie tena.
 
Ila Hii ya sasa hivii kiboko kichambo Kuanzia mama Mkwe, mawifi, mameneja mpk Wafanyakazi wa chini asipopata akili ndio basi Tena.
Unadhani ukitengwa na jamii yote unadhani ndio una matatizo?saa nyingine wale wengi ndio wana matatizo
 
Stupidy decision ever na anajuta ila sema ndo vile tu vimemuongezea umaarufu hapa bongo ila alichokifanya ni upuuzi pia kwa mtu mzima kama yeye wala sio wa kufanya vile
Bora angebakiki na tiffah ila kajifunza mana kiki zake zilimfanya Ivan akafa hafu na yeye akalipizwa kwa Diamond itakuwa ana machingu ingawa dai karudi kumuumiza tu Hamisa
 
Napata mashaka hata ile child support ilikua kumvuta Diamond karibu baada ya kuwa anapewa pesa tu akataka na baba awe anaenda nyumbani ili amtege vizuri amzalie tena.
Na ndio alichokuwa analilia haya Dai kamtumia sahivi kahamisha makazi na i promise you mama Dai atarudi tena kwa Missa atampokea na vijembe atarusha kama kawaida yake [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dola laki moja??weee cadey weweeee
 
Huu ukweli mchungu watoto wa Diamond wote sio wake katk uislam na Diamond hana mtoto hata mmoja pale!
Anajidanganya na anapata dhambi kujinasibisha na watoto wasio wake hakuna cha sheria za nchi wala kijiji!

Atahukumiwa na Mungu kwa uislam wake!
 
Kumbe nae toka zamani mwizi wa waume za watu tena wenye ndoa zao ,ila wanaona ya hamisa tu

Kumbe zari kuzaa na mondi aliona kabahatisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…