Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Hahaaaaa halili matunzo analilia tamu ya Domo
Napata mashaka hata ile child support ilikua kumvuta Diamond karibu baada ya kuwa anapewa pesa tu akataka na baba awe anaenda nyumbani ili amtege vizuri amzalie tena.
 
Ila Hii ya sasa hivii kiboko kichambo Kuanzia mama Mkwe, mawifi, mameneja mpk Wafanyakazi wa chini asipopata akili ndio basi Tena.
Unadhani ukitengwa na jamii yote unadhani ndio una matatizo?saa nyingine wale wengi ndio wana matatizo
 
Stupidy decision ever na anajuta ila sema ndo vile tu vimemuongezea umaarufu hapa bongo ila alichokifanya ni upuuzi pia kwa mtu mzima kama yeye wala sio wa kufanya vile
Bora angebakiki na tiffah ila kajifunza mana kiki zake zilimfanya Ivan akafa hafu na yeye akalipizwa kwa Diamond itakuwa ana machingu ingawa dai karudi kumuumiza tu Hamisa
 
Napata mashaka hata ile child support ilikua kumvuta Diamond karibu baada ya kuwa anapewa pesa tu akataka na baba awe anaenda nyumbani ili amtege vizuri amzalie tena.
Na ndio alichokuwa analilia haya Dai kamtumia sahivi kahamisha makazi na i promise you mama Dai atarudi tena kwa Missa atampokea na vijembe atarusha kama kawaida yake [emoji23][emoji23]
 
Tukianao nae alizaaa kumkomesha Wema ukweli ndo huo!na alizaa akijua Diamond atatulia [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1]hapo ndo alibugi aiseehh!

Sasa kumbe pembe la ng'ombe halifichiki!

Alibugi mnoo kujibebesha mimba ndani ya mwezi mmoja akijua anakomoa Wabongo mbaya zaidi akabeba fasta fast a

Wanawake na siye tupunguze ujuha kumzalia mwanaume sio kigezo cha kupenda au kuolewa jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
zari ana nyumba zake 2 mbali na iyo anayoishi sasa
na kwa taarifa yako iyo nyumba siyo ya kinje wala dai ni ya zari na alikuwa alinunua mwenyewe na kujifanya dai kamnunulia ili kuwarusha roho wa kama kina misa na nyumba ya madale zari alitoa dola laki moja ili ifanyiwe finishing na funture alinunua yeye south ,mademu wa bongo wa kaanza kushoboka kwa dai wakijua ana hela kumbe anahongwa na jimama
Dola laki moja??weee cadey weweeee
 
Hahahhahaa Mkuu Tukija Kwenye imani hasa hao watoto Wa mondy Wote ni wazinaa.

Hao watoto Wa Hamisa Wote ni Wa zinaa

Esma na Diamond alkadhalika ni watoto Wa zinaa Kwa mama yao

Sheria ya watoto Wa zinaa hawanaga urithi kwa baba yao na baba haruusiwi kurithi Mali ya mtoto Naelewa.

Lakini tukifunua upande Wa shilingi hususani Wa sheria za nchi Zari anatambulika Kama mwanamke Wa Diamond.

Kilichopaswa Diamond angemuoa Hamisa kisheria huwa wanasema Hakuna laana ya mwanamke unayezini naye imfikie mkeo WA halali hapa Hamisa angecheza. Lakini matokeo yake naye kafanywa Wa kusafisha rungu ndio maana yamemkuta
Huu ukweli mchungu watoto wa Diamond wote sio wake katk uislam na Diamond hana mtoto hata mmoja pale!
Anajidanganya na anapata dhambi kujinasibisha na watoto wasio wake hakuna cha sheria za nchi wala kijiji!

Atahukumiwa na Mungu kwa uislam wake!
 
Unadhani ilikua bahati mbaya ile?? Mbona mimba za yule baunsa wa Uganda alikua anazitoa. Alipiga mahesabu yake vizuri. Akaona kijana anashida ya watoto na yeye mayai anayo kwanini asiendelee zake kujilia child support kuliko kubanana na Getu kwa Katunzi
Kumbe nae toka zamani mwizi wa waume za watu tena wenye ndoa zao ,ila wanaona ya hamisa tu

Kumbe zari kuzaa na mondi aliona kabahatisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom