Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Kumbe anamuhonga Diamond na mko hapa mnamsifia ana akili? Serious mwanamke mwenye akili mwenye watoto watano anatafuta hela yake kumuhonga mwanae anaemdhalilisha? Mmenichosha kujua hayo. Sasa kama anahonga hela zote hizo mbona alimdai baby daddy 100M ili aweze kuwaona watoto wake?
Unaona sasa eti butiful with brain nakazia my ass
 
Kweli wewe mgeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ivan alimuoa Zari kwa ndoa kabisa fatilia huko ziko hadi picha mama
Sio kweli alitoa mahari bwana[emoji3][emoji16][emoji16]tusidanganyane hapa!
Ila nakumbuka alibadilisha dini akawa mlokole ili aolewe ndoa haikutokea [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji11]shoga hapana
 
Ila Zari asingerudiana na Diamond Kwa kipindi hiki ni Muda mfupi Sana toka Waachane miezi minne tu ,amejitangaza mpk BBC.
Hivi nyie siri anaijua daimond mle ndani jamani k imesoma kilometer sana ile ,hivi matajiri wa south wote hamwamuoni zari [emoji23][emoji23][emoji23] au ndio anajulikana Tz na Kenya na kwa ug
 
Hata mwaka asingerudiana nae. Kipi anachokitafuta sasa? Watoto wake watano na bado anavutia angetafuta mzee wake mmoja watulie waingie uzeeni wote waleane. Anasumbuana na Diamond ambae hata afunge nae ndoa wapi bado atamcheat na kumdhalilisha kama kawaida. At her age na umaarufu wake Africa hastahili kudate mwanaume type ya Diamond.
Kama hao wazee wanakula na kuseoa afanyeje
 
Kumbe nae toka zamani mwizi wa waume za watu tena wenye ndoa zao ,ila wanaona ya hamisa tu

Kumbe zari kuzaa na mondi aliona kabahatisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena alikua anakula waume za watu huku yeye ni mke wa kimila wa Ivan. Kwani unadhani Diamond alimpata kwenye ndege wakati anakuja bongo kusign business deal au?? Alikua anakuja kwa sponsor wake bongo. Yule Paul sijui Peter wa P square walikua na mahaba motooo akajua ataachana na Ivan aolewe yeye akaolewa mwenzie. Kuna yule mganda anamchambaga Zari anasemaga kule chini kwa Zari watu wanaweza kufanya UN summit maana mataifa yote yameshapita hapo
 
Naona leo mangekimambi kavumilia naye kaongea

Screenshot_2018-06-06-18-10-47.png
 
Back
Top Bottom