Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji3][emoji3]wa maana hawatampa fame yeye anataka umaarufu sasa atawatakaje !!Hapana yule mama anastahili mwanaume wa maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]wa maana hawatampa fame yeye anataka umaarufu sasa atawatakaje !!Hapana yule mama anastahili mwanaume wa maana
Unaona sasa eti butiful with brain nakazia my assKumbe anamuhonga Diamond na mko hapa mnamsifia ana akili? Serious mwanamke mwenye akili mwenye watoto watano anatafuta hela yake kumuhonga mwanae anaemdhalilisha? Mmenichosha kujua hayo. Sasa kama anahonga hela zote hizo mbona alimdai baby daddy 100M ili aweze kuwaona watoto wake?
[emoji2] [emoji2] hafu kiki zikipungua kwa zari wanamrudia tena MisaNa ndio alichokuwa analilia haya Dai kamtumia sahivi kahamisha makazi na i promise you mama Dai atarudi tena kwa Missa atampokea na vijembe atarusha kama kawaida yake [emoji23][emoji23]
Kadanganyiwa pafyum tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zari nae kafa kaoza kwa Diamond yani hivi kaombwa msamaha kwa mbwembwe zote hizi asingeweza kukataa
Sio kweli alitoa mahari bwana[emoji3][emoji16][emoji16]tusidanganyane hapa!Kweli wewe mgeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ivan alimuoa Zari kwa ndoa kabisa fatilia huko ziko hadi picha mama
Hivyo vyuo 30 viwekwe hapa mbona kila siku yupo chuo kimoja tu anavyopenda picha yule bibi tungeviona vyote[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie watu nyie mnadanganywaaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona Zari kampokea hamsemi au yeye ana haki zaidi ya kuliwa na mondi?Na ndio alichokuwa analilia haya Dai kamtumia sahivi kahamisha makazi na i promise you mama Dai atarudi tena kwa Missa atampokea na vijembe atarusha kama kawaida yake [emoji23][emoji23]
Diamond anajua kuwachezea sana akili zao.Na ndio alichokuwa analilia haya Dai kamtumia sahivi kahamisha makazi na i promise you mama Dai atarudi tena kwa Missa atampokea na vijembe atarusha kama kawaida yake [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]jamani kweli mtu mzima kisheti!Kadanganyiwa pafyum tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siwapendi wote zari na hamisa ila naonaga hamisa anaonewa mnooHahahahaa. Kwahiyo wengine hamuwi wakweli sababu mna team eeh.
Uongo mtupu ule[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kudanganywa tuu!na wao tena wanaamini Zari wabongo wanaona kama vile kaja kuwakomesha bongo movie vileHivyo vyuo 30 viwekwe hapa mbona kila siku yupo chuo kimoja tu anavyopenda picha yule bibi tungeviona vyote
Hivi nyie siri anaijua daimond mle ndani jamani k imesoma kilometer sana ile ,hivi matajiri wa south wote hamwamuoni zari [emoji23][emoji23][emoji23] au ndio anajulikana Tz na Kenya na kwa ugIla Zari asingerudiana na Diamond Kwa kipindi hiki ni Muda mfupi Sana toka Waachane miezi minne tu ,amejitangaza mpk BBC.
Alitaka ndoa ,mwishowe akawa video vixen akafungia ndoa kwenye IyenaZari naye kiboko aisee huwezi kum keep mwanaume kwa mimba aisee, au alivoona htaji la mond ndo akafanya hivo
[emoji3][emoji16][emoji16]sisi huku si ndo hatupendani wenyewe kwa wenyeweHivi nyie siri anaijua daimond mle ndani jamani k imesoma kilometer sana ile ,hivi matajiri wa south wote hamwamuoni zari [emoji23][emoji23][emoji23] au ndio anajulikana Tz na Kenya na kwa ug
Kama hao wazee wanakula na kuseoa afanyejeHata mwaka asingerudiana nae. Kipi anachokitafuta sasa? Watoto wake watano na bado anavutia angetafuta mzee wake mmoja watulie waingie uzeeni wote waleane. Anasumbuana na Diamond ambae hata afunge nae ndoa wapi bado atamcheat na kumdhalilisha kama kawaida. At her age na umaarufu wake Africa hastahili kudate mwanaume type ya Diamond.
Tena alikua anakula waume za watu huku yeye ni mke wa kimila wa Ivan. Kwani unadhani Diamond alimpata kwenye ndege wakati anakuja bongo kusign business deal au?? Alikua anakuja kwa sponsor wake bongo. Yule Paul sijui Peter wa P square walikua na mahaba motooo akajua ataachana na Ivan aolewe yeye akaolewa mwenzie. Kuna yule mganda anamchambaga Zari anasemaga kule chini kwa Zari watu wanaweza kufanya UN summit maana mataifa yote yameshapita hapoKumbe nae toka zamani mwizi wa waume za watu tena wenye ndoa zao ,ila wanaona ya hamisa tu
Kumbe zari kuzaa na mondi aliona kabahatisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale Wote K Zao zimesoma Maili kadhaa ila Hamisa anauwezo wa kupunguza masafa umri badoHivi nyie siri anaijua daimond mle ndani jamani k imesoma kilometer sana ile ,hivi matajiri wa south wote hamwamuoni zari [emoji23][emoji23][emoji23] au ndio anajulikana Tz na Kenya na kwa ug
Nakuambia team zari watatukana mpaka wafe midomoIla Diamond atakuja kumcheat Tena Sio Kwa Hamisa Kwa mwanamke mwingine tofauti tusibiri tu