Hapo hakuna hata innocent mkuu"".. huyo binti chenga tena za Mchele "" Jamaa yake nae chenga "familia Yke ndio kabisaaa ilipaswa kiwa na cheti cha milembe "" Maana huwezi kutenda wema halafu wakauthamini lazima utaonekana mbaya ...yaani ile familia ilikuweza kuishi nayo lazima uwe mnywaji wa Konyagi ""...... nachosikitika nikwamba " zari amejiingiza kwenye kundi la watu waswahili mnooo"" na hili litakuja kumtafuna akili trust me ".....
Zari jinga tu nalo linavyopenda kutembea huku camera zinamfata utaona sasa hivi karudi madape nitacheka mpaka nikojoe
Kama zari alivyokizunguza kimataifa na hakupata fistula sembuse hamisa aliepita kwa wachache tuwa kimataifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyu chuchunge atakojolewa mpaka azeeke hivi akifika umri wa zari atakuwa ana fistula maana ha ha ha
kwani hamisa alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu mkuu""....? Mimi nilidhani kwanza kabla ya kumshutumu Hamisa ...basi shutuma hizi zingepaswa kuanzia kwenye familia ya diamond na diamond mwenyewe...maana wakati diamond anashiriki kingono alikuwa anaijua hatari ambayo anaipika "" hilo moja "".....pili haiwezekani kwa familia yenye utu " upendo na maadili " ikakubali kumpokea mwanamke mwingine na kumsogeza karibu na kukubali kuwa nimkwe wao "" wakati wanajua kuwa mtoto/kaka yao ana mwanamke aliyezaa nae Watoto "" tena Africa mashariki yote inajua kuhusu mahusiano yao ....lakini mbona hilo hawakujali wala kuliona wakampa support kubwa tu ya kutosha ...na sitaki kuamini kwamba walikuwa hawashiriki kumsema vibaya zari pindi wanapokuwa na hamisa .....hivi kweli watu wenye akili timamu zenu mmeamua kufumba akili na kutiliona hili kuwa nitatizo kubwa "" yaani kabisa hamtaki kuona kuwa hii familia ni member expert wa unafiki majungu .. na uchonganishi ....imagine leo zari anarudiana na diamond atakuwa na imani ipi na mama Yke mkwe wakati walionyesha kumpa support hamisa ...kipindi ambacho yeye alikuwa na mahusiano na dai .......narudia tena hamisa ana matatizo lakini hiyo familia ya diamond NI zaidi ya matatizo ...Ww ukizaa na mtu ili hali unajua ana familia yake itakuwa sawa?
Tusiongozwe na uteam ama ushabiki
Najua kabisaaa huyu ni mpenzi/mchumba ama mzazi mwenzie na Mama Sabrina naenda nazaa nae akili matope
Karma is bitch
Hahahaa kweli anatafuta public sympathy ila Jamaa mchonganishi sana yule aiseee...""... achana na wazaramo kabisa mkuuJamaa chenga alikua katulizwa ila pussy so hot akajiingiza kwa makeke matashtiti kibao kimemtokea puani anaanza tafuta sympathy
Ataishia tu kudandia wanaume wa watu, na kuzaa tu na baba tofauti kama pussy soo gud angepata wake akasogezwa hata karibu tukae...Hahahahaaaaaa pussy so good jamani....
hahaha sawa ... but zari bimkubwa wake alikuwa mstaarabu" so ujinga anao zari mwenyewe ..shida ipo kwa Hawa buguruni malapa..kwa mtogole ".... mtoni kwa azizi ally "....Umesahau kumalizia ya zari
Mama siku zote jua nafasi yako kwa mwanaume hata kama unampenda kiasi gani. Yes Diamond sio mume wa mtu ila alikua anadate na Zari hilo tayari ni kosa ambalo Hamisa amefanya kujiweka karibu na Zari halafu bado akatembea na mume wake mpaka akazaa nae. Tuassume anampenda sana Diamond ila bado kuzaa nae ni makosa kwanini alikubali kujiweka cloz na Zari tena? Hamisa alikosea kiukweli na kibaya zaidi akakubali kutumika.Misa alikuwa na dai before,na kumbuka dai hajaoa mpaka leo na kazaa nao wote na daimond dini inaruhuru kuoa wote wawili au watatu,wapendeni wote tu
Kuhusu hiyo mbona kuna watu wanazaa kabisa na waume za watu hamuoni ajabu sembuse misa kuzaa na dai akiwa na hawara zari
Hakuna cha karma hapo
Huyo nae ni ni mjinga kama wajinga wengine.wa kimataifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyu chuchunge atakojolewa mpaka azeeke hivi akifika umri wa zari atakuwa ana fistula maana ha ha ha
Ndo ajue hatakiwi ndo nini kufichwa vile, yani diamond kamficha Hamisa utadhani anaficha Makalio, kama zari alimkuta mbona hajawahi oneshwa Yani kakubali kufichwa akaja zari mivacay ya kukata na shoka mipicha ya kufa mtu ye kafichwa tu!!! Anasubiri mama na Esma walale ndo anapita ananyata akatiwe daaah huyo dem hatakiwi anafosiBora hata wee umewajuaa kuliko kumuona hamisa mbaya tu,, hebu angalia familia ya daimond nzima meneja wake wanamuona misa mbaya famikia ya zari wanamuona misa mbaya yaan hamisa yupo na mama yake tu wanajitetea ,,wenyewe wapo wengiiii akijitetea hamisa anakuwa mbayaa eti ila zari akitukana kizungu sawa,,,halaf misa hakuingilia mapenzi zari alimkuta misa akiwa na daimond ,na hapo zari na misa hawapindui kwa mond,zari kapelekwa zawadi ya pafyum na dai keshapost kushukuru ukute keshaliwa tena,daimond balaaa ana asali
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Ndo ajue hatakiwi ndo nini kufichwa vile, yani diamond kamficha Hamisa utadhani anaficha Makalio, kama zari alimkuta mbona hajawahi oneshwa Yani kakubali kufichwa akaja zari mivacay ya kukata na shoka mipicha ya kufa mtu ye kafichwa tu!!! Anasubiri mama na Esma walale ndo anapita ananyata akatiwe daaah huyo dem hatakiwi anafosi
ujinga kweli hamisa kila siku kutoa vipicha vya dai dai hata siku moja hasemi ako na hamisa huyu binti ni kujisukumiza kama jipu la katikati ya makalio khaaaaaa wacha wamtukaneNdo ajue hatakiwi ndo nini kufichwa vile, yani diamond kamficha Hamisa utadhani anaficha Makalio, kama zari alimkuta mbona hajawahi oneshwa Yani kakubali kufichwa akaja zari mivacay ya kukata na shoka mipicha ya kufa mtu ye kafichwa tu!!! Anasubiri mama na Esma walale ndo anapita ananyata akatiwe daaah huyo dem hatakiwi anafosi
Hahahaa kweli anatafuta public sympathy ila Jamaa mchonganishi sana yule aiseee...""... achana na wazaramo kabisa mkuu
Jibu nikwamba hakuw anamuona kuwa ni type yake .....demu hana hata Laki " mpaka ahongwe ...sasa ataanzaje kumtangaza ndugu "...?!Jamaa hakumpenda tununu ndo maana alikua anamficha kama utumbo uliododa. Wapenzi wake wote alishawatambulisha hadharan kwann hakumtambulisha hamisa wala kumtetea popote.
Ana kazi sana teh aliona zari anafaidi haya kaachiwa zigo la tandale apambane sio kulialia sahivi Mungu sijui hajamfikisha wapi pyeeeeeeeujinga kweli hamisa kila siku kutoa vipicha vya dai dai hata siku moja hasemi ako na hamisa huyu binti ni kujisukumiza kama jipu la katikati ya makalio khaaaaaa wacha wamtukane