Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Jamaa chenga alikua katulizwa ila pussy so hot akajiingiza kwa makeke matashtiti kibao kimemtokea puani anaanza tafuta sympathy
Hapo hakuna hata innocent mkuu"".. huyo binti chenga tena za Mchele "" Jamaa yake nae chenga "familia Yke ndio kabisaaa ilipaswa kiwa na cheti cha milembe "" Maana huwezi kutenda wema halafu wakauthamini lazima utaonekana mbaya ...yaani ile familia ilikuweza kuishi nayo lazima uwe mnywaji wa Konyagi ""...... nachosikitika nikwamba " zari amejiingiza kwenye kundi la watu waswahili mnooo"" na hili litakuja kumtafuna akili trust me ".....
 
wa kimataifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyu chuchunge atakojolewa mpaka azeeke hivi akifika umri wa zari atakuwa ana fistula maana ha ha ha

Kama zari alivyokizunguza kimataifa na hakupata fistula sembuse hamisa aliepita kwa wachache tu
 
Ww ukizaa na mtu ili hali unajua ana familia yake itakuwa sawa?
Tusiongozwe na uteam ama ushabiki
Najua kabisaaa huyu ni mpenzi/mchumba ama mzazi mwenzie na Mama Sabrina naenda nazaa nae akili matope
Karma is bitch
kwani hamisa alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu mkuu""....? Mimi nilidhani kwanza kabla ya kumshutumu Hamisa ...basi shutuma hizi zingepaswa kuanzia kwenye familia ya diamond na diamond mwenyewe...maana wakati diamond anashiriki kingono alikuwa anaijua hatari ambayo anaipika "" hilo moja "".....pili haiwezekani kwa familia yenye utu " upendo na maadili " ikakubali kumpokea mwanamke mwingine na kumsogeza karibu na kukubali kuwa nimkwe wao "" wakati wanajua kuwa mtoto/kaka yao ana mwanamke aliyezaa nae Watoto "" tena Africa mashariki yote inajua kuhusu mahusiano yao ....lakini mbona hilo hawakujali wala kuliona wakampa support kubwa tu ya kutosha ...na sitaki kuamini kwamba walikuwa hawashiriki kumsema vibaya zari pindi wanapokuwa na hamisa .....hivi kweli watu wenye akili timamu zenu mmeamua kufumba akili na kutiliona hili kuwa nitatizo kubwa "" yaani kabisa hamtaki kuona kuwa hii familia ni member expert wa unafiki majungu .. na uchonganishi ....imagine leo zari anarudiana na diamond atakuwa na imani ipi na mama Yke mkwe wakati walionyesha kumpa support hamisa ...kipindi ambacho yeye alikuwa na mahusiano na dai .......narudia tena hamisa ana matatizo lakini hiyo familia ya diamond NI zaidi ya matatizo ...

Ifike mahala muwe mnajiongeza basiiiiiii " na Hiyo ndio mantik ya FORUM hii kuitwa " home of great thinkers.......ili kuwa inawataka members wake kuwa wadadisi na sio Bendera fuata upepo

KWAHERINI
 
Jamaa chenga alikua katulizwa ila pussy so hot akajiingiza kwa makeke matashtiti kibao kimemtokea puani anaanza tafuta sympathy
Hahahaa kweli anatafuta public sympathy ila Jamaa mchonganishi sana yule aiseee...""... achana na wazaramo kabisa mkuu
 
Umesahau kumalizia ya zari
hahaha sawa ... but zari bimkubwa wake alikuwa mstaarabu" so ujinga anao zari mwenyewe ..shida ipo kwa Hawa buguruni malapa..kwa mtogole ".... mtoni kwa azizi ally "....
 
Hapa mwenye makosa ni diamond ila wanawake ndio mnaishia kugombana. Kwa hamisa alivyo akiitwa njoo na diamond ataenda tu. Na zari akirudiana nae na yeye ndio walewale tu. Maana kasema wee kwenye ma tv baadae unajirudia hapo hapo
 
Misa alikuwa na dai before,na kumbuka dai hajaoa mpaka leo na kazaa nao wote na daimond dini inaruhuru kuoa wote wawili au watatu,wapendeni wote tu

Kuhusu hiyo mbona kuna watu wanazaa kabisa na waume za watu hamuoni ajabu sembuse misa kuzaa na dai akiwa na hawara zari
Hakuna cha karma hapo
Mama siku zote jua nafasi yako kwa mwanaume hata kama unampenda kiasi gani. Yes Diamond sio mume wa mtu ila alikua anadate na Zari hilo tayari ni kosa ambalo Hamisa amefanya kujiweka karibu na Zari halafu bado akatembea na mume wake mpaka akazaa nae. Tuassume anampenda sana Diamond ila bado kuzaa nae ni makosa kwanini alikubali kujiweka cloz na Zari tena? Hamisa alikosea kiukweli na kibaya zaidi akakubali kutumika.
 
Bora hata wee umewajuaa kuliko kumuona hamisa mbaya tu,, hebu angalia familia ya daimond nzima meneja wake wanamuona misa mbaya famikia ya zari wanamuona misa mbaya yaan hamisa yupo na mama yake tu wanajitetea ,,wenyewe wapo wengiiii akijitetea hamisa anakuwa mbayaa eti ila zari akitukana kizungu sawa,,,halaf misa hakuingilia mapenzi zari alimkuta misa akiwa na daimond ,na hapo zari na misa hawapindui kwa mond,zari kapelekwa zawadi ya pafyum na dai keshapost kushukuru ukute keshaliwa tena,daimond balaaa ana asali
Ndo ajue hatakiwi ndo nini kufichwa vile, yani diamond kamficha Hamisa utadhani anaficha Makalio, kama zari alimkuta mbona hajawahi oneshwa Yani kakubali kufichwa akaja zari mivacay ya kukata na shoka mipicha ya kufa mtu ye kafichwa tu!!! Anasubiri mama na Esma walale ndo anapita ananyata akatiwe daaah huyo dem hatakiwi anafosi
 
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Ndo ajue hatakiwi ndo nini kufichwa vile, yani diamond kamficha Hamisa utadhani anaficha Makalio, kama zari alimkuta mbona hajawahi oneshwa Yani kakubali kufichwa akaja zari mivacay ya kukata na shoka mipicha ya kufa mtu ye kafichwa tu!!! Anasubiri mama na Esma walale ndo anapita ananyata akatiwe daaah huyo dem hatakiwi anafosi
ujinga kweli hamisa kila siku kutoa vipicha vya dai dai hata siku moja hasemi ako na hamisa huyu binti ni kujisukumiza kama jipu la katikati ya makalio khaaaaaa wacha wamtukane
 
Mobeto njoo kwangu mi nikupe pumziko la roho.
Hutalia wala hutajuta nitakuenzi na kukujali na wala faragha yetu haitaingiliwa na kidudumtu.
Achana na mapenzi ya show off njoo nikupe mahaba halisi waliyopeana bibi na babu.
Hutajuta kunifaham na utajiuliza siku zote nilikuwa wapi?!.
Nipo hapa mahabuba dushe mkalia kende
 
Huyu ndo mama ake mzazi anaishi mbagala,uyo ni dada ake mtoto wa mama mkubwa
 
Attachments

  • Screenshot_20180606-130511.jpg
    Screenshot_20180606-130511.jpg
    48.7 KB · Views: 32
ujinga kweli hamisa kila siku kutoa vipicha vya dai dai hata siku moja hasemi ako na hamisa huyu binti ni kujisukumiza kama jipu la katikati ya makalio khaaaaaa wacha wamtukane
Ana kazi sana teh aliona zari anafaidi haya kaachiwa zigo la tandale apambane sio kulialia sahivi Mungu sijui hajamfikisha wapi pyeeeeeee
Pussy soo gud apambane
 
Back
Top Bottom