Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Jamaa chenga alikua katulizwa ila pussy so hot akajiingiza kwa makeke matashtiti kibao kimemtokea puani anaanza tafuta sympathy
Hapo hakuna hata innocent mkuu"".. huyo binti chenga tena za Mchele "" Jamaa yake nae chenga "familia Yke ndio kabisaaa ilipaswa kiwa na cheti cha milembe "" Maana huwezi kutenda wema halafu wakauthamini lazima utaonekana mbaya ...yaani ile familia ilikuweza kuishi nayo lazima uwe mnywaji wa Konyagi ""...... nachosikitika nikwamba " zari amejiingiza kwenye kundi la watu waswahili mnooo"" na hili litakuja kumtafuna akili trust me ".....