Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Binti sio innocent au victim kama anavyotaka kujiweka,kachafu ka mwili hadi mdomo kiroporopo balaa,kalishaanza kujiita mama mjengo
Dada yangu samahani mi mgeni kidogo mtaa huu, hivi tofauti ya Hamisa na Zari ni kitu gani? Naona kama lawama zinamwendea mtu mmoja tu.
Hivi mondi alishafunga ndoa na Zari! Nimeuliza kwa wema tu
 

hahahaaa eti kahaba mstaafu..uwiii
 
Eti kubwa jinga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu taratibu basi.
 

unavyokazana kuhalalisha kuzaa na mwanaume ambae ana mwanamke ambae anamtambulisha kama mpenzi wake. Hata kama hawajafunga ndoa, it does not make it right. Na hata kama wapo wanawake wanaozaa na waume za watu, it does not make it right just because everyone is doing it. It just shows what kind of moral standards you are raised from.
Ndio maana Ukimwi hautaisha. Nilifikiri watu mtaangalia hatari iliyopo watu wanalalana tuu bila kinga na wanajua mwanaume huyo ana mwanamke wake, hata kama hawajaoana i dont think HIV cares whether people are married or not. Halafu wakisha ukwaa wanaanza kumsingizia shetani na Mungu.
 
wewe tena hata sikushangai
mada ni mama hamisa wewe unatuletea mambo ya hamisa

Tatizo lako ndilo walilonalo hao wenzako. Inashangaza kwamba huwezi hata kujua kwa nini hamisa anajadiliwa hapa licha ya kwamba mama hamisa amesema anamwombea msamaha hamisa.

Shida yenu kubwa ni hiyo.

Mwambie hamisa safari hii asijaribu kufanya upumbavu wake anaoufanyaga kwa kuwa atadhalilika.
 
Dada yangu samahani mi mgeni kidogo mtaa huu, hivi tofauti ya Hamisa na Zari ni kitu gani? Naona kama lawama zinamwendea mtu mmoja tu.
Hivi mondi alishafunga ndoa na Zari! Nimeuliza kwa wema tu

Hawajafunga ndoa, ila alishamtambulisha Zari kama mpenzi wake na mwenza wake. Hivi ni jamii gani hii imekazana kuhalalisha mwanamke kuzaa na mwanaume ambae ana mwanamke wake? Huyo Hamisa umemuona lini Diamond amemtambulisha kama mwenza wake mdogo? Mbona Dai ana mtreat Hamisa kama mistake? ndio mjue hata Dai alikua anakidhi haja za mwili wake ila anajua ni nani anafaa kuwa mwenza. Dai mwenyewe alisema kwa mdomo wake kwamba nia ya Hamisa ilikua kumuumiza Zari. Embu rejea interview yake. Na ndio Dai akawa ana mwambia Zari hajamkosea mtu, kama anayefaa kuumizwa ni yeye Dai. But Hamisa hakuona hilo na vijembe vyake kwa Zari ndio vimemponza.
 
Noana mapicha picha tu hapa zari karudiana na mond aliemkana bbc? Kaaaaa mi naona zari kazingua kashindwa kusimamia kile anachoamini
Hahahaa"" mzee baba watu wanakula matapishi yao "" Maisha bila ya unafiki hayaendi ...""..
 
Hivi hamisa alikuwa na Majizo kipindi gani na alikuwa na Diamond kipindi gani tena kabla ya Zari? Mimi mbona hesabu za Hamisa kuwa na Diamond kabla ya Zari bado sijazielewa?
 
Ana kazi sana teh aliona zari anafaidi haya kaachiwa zigo la tandale apambane sio kulialia sahivi Mungu sijui hajamfikisha wapi pyeeeeeee
Pussy soo gud apambane
ha ha huko ig tunamtukana kama kawa nikiamka na stress za shemela wenu naenda kumchambaaaaaa mpaka nasuuzikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

All in all, Hamisa too alijua what she was doing. Familia ya Dai tunaijua sana na wao sio wasafi ila tunachosema hapa Hamisa does not deserve any sympathy. She made her bed, she should lie in it. Babu Tale alimuonya kabla haja beba mimba, na akamuonya Dai pia, but we all know, wanaume wakitaka kusuuza rungu hawajalii ndio maana mwanamke lazima uwe smart bana maana mwisho mzigo humuelemea mwanamke. Hamisa should have known better.

Yeye Hamisa si ndio alisema kwamba watu wanamuonea wivu kwa vile amezaa na wanaume wenye pesa? Ndio ujue akili za huyu msichana sasa.
 

Helen Magese ndio nani?
 
Nashukuru nimekuelewa. .kumbe mmoja alishatambulishwa mwingine ni kiherehere.
 
Hivi lakini huyo jamaa yenu nae mbona havai soksi? ?
Yani anajua hampendi lakini bado anatembea nae peku peku kwa maana anamuamini na kaona anafaa kuwa mama wa mtoto wake. Ndio mana ya akaenda peku hadi kummimbisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…