Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Tofauti ya zari na hamisa. Zari ana watoto watano baba watoto wake hajawahi kwapua kwa mtu
Hamisa ana watoto wawili kila mmoja baba ake kakwapua kwa watu waliokua na mahusiano imara

Zari alishatambulishwa kila kona ya dunia,hamisa kafichwa na kukanwa

Zari anamiliki nyumba ambayo inasemekana dai alimnunulia,hamisa anamiliki chumba kimoja alichopewa kwa hisan na meneja wa dai salam
Zari alimfata dai kwa mapenzi yake mwenyewe,hamisa alimfaya dai kwa nia ya kumkomesha zari hasa baada ya kupata sapoti toka kwa mama dai na dada ake dai

Diamond mara nyingi alikua anampost sana zari na kumsifia,huyu huyu jamaa hajawai mpost hamisa kwa kumsifia zaidi ya kumpost akimla threesome

Zari hajawahi sema pussy so hot na pia awafulie sijui awavulie chupi ndugu zake dai,hamisa kesharopoka haya yote.

Zari hajawahi iba nguo za watu na kusingizia ni zake ila tununu mtaalamu wa haya mambo
Dada yangu samahani mi mgeni kidogo mtaa huu, hivi tofauti ya Hamisa na Zari ni kitu gani? Naona kama lawama zinamwendea mtu mmoja tu.
Hivi mondi alishafunga ndoa na Zari! Nimeuliza kwa wema tu
 
ha ha ha kwa hiyo anajiona mwanamke na nusu kutafunwa na huyu kibolo dinda kwi kwi kwiiiiiii
 
Wanawake ndo tulivyo,tukiona mahusiano ya mtu yamenoga twaanza jisogeza hata kama huyo mtu alitongoza mwanzon mwanamke akachomoa akimuona uchafu kituko ila kisa ana mtu na kapendeza ndo anaonekana wa maana
 
Humu ndani ndio nimejua akili za wanawake duniani zikoje.nimesoma post zote nikagundua mwanamke uliemtongoza akazingua mwisho wa siku ukipata dem ataanza kujisogeza na yeye!ahaaa nishawajua wanawake
 
Ukishaona mama mtu mzima yupo instagram basi ujue kuna jambo
 
Hamisa hana bahati kabla hajaanza kulia lia kutaka watu wamuhurumie,atubu na aombe Mwenyezi Mungu ammpe bahati..
Hamisa ni nyaku nyaku almaarufu kivuruge hapa mjini kwanza anadanganya ana miaka 23 wakati alishawahi kushiriki Miss Tanzania 2010 au 11 tena daimond alitembeleaga kambi ya Miss Tz Hamisa akamsuprise mond kwa kuiga kuongea sauti ya Wema enzi hizo mond yupo na Wema awamu ya kwanza..
Hamisa ni demu wa wasanii hawezi pata mtu wa kutulia nae.
Hamisa alimnyakua Majizo kutoka kwa rafiki yake kipenzi tena walikuwa waitana mapacha zuhura gora ,majizo akamwaga hamisa baada ya kumfumania akiwa mjamzito ,
Hamisa akarudia kudanga mara south mara nigeria kote huko hakupata bwana wa kumtuliza na pussy so hot yake
kuna kipindi familia ya mond ilivurugana na zari so wakamwambia hamisa wanampenda na ye ndo ataolewa na mond ,hamisa akaanza kutoka na mond na kuishi wote pamoja familia ya mond na kumrushia vijembe zari akiwa mjamzito bass ilikuwa bday ya mama mond zari na mimba yake akaja kwenye bday ya mama mkwe aishia kulishwa cake na mkono wa kushoto tena hamisa ndo alikuwa mbeba sahani ya cake,zari akavumilia yakapita
zari akaja kukuta hereni za hamisa chumbani kwa mond wakazifanyia tangazo wakapata hela,tena mond alimzalilisha hamisa akaweka hereni dp wasapp na kuandika maneno ya kejeli ,,
Hamisa alikwanwa kila mahali kama mtu hajaoa kwanini akukane lakin hakukoma akaendelea kukomaa mond akaendelea kumzalilisha mara zari akaanza kumtupia vijembe lakin hakukoma akaendelea kukomaa ,Zari akaona isiwe tabu akamuachia mswahili mwenzie wapambane sasa familia ambayo walikuwa wanashirikiane kumkomesha zari tena akiwa mjamzito wamemgeuka hawamtaki sasa analia lia nini si avune alicho kipanda.....
 
Pole zao sifurahiii zari kurudiana na diamond ila sikupenda tabia ya Hamisa kumchamba zari hata kama utoto ule ulikuwa uswahili kiwango cha lami
 
ha ha huko ig tunamtukana kama kawa nikiamka na stress za shemela wenu naenda kumchambaaaaaa mpaka nasuuzikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeua bendi
 
Hamisa angekuwa na akili na kama diamond alikuwa anampenda kweli alitakiwa ahakikisha mond na zari waachana kwanza ndo yeye amzalie mond mbona hakuna mtu angemchamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…