Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana


Hajaoa sawa..ila Zarina anatambulika. Mtu kuingilia ni sawa kabisa na kuvunja nyumba ya watu kwa makusudi..huyo hamisa kawa nae before mbona hatukutambulishwa kama alikuwa anafaa? Mwambieni hamissa aache uharibifu wa mahusiano ya watu..

 
Umemaliza kila kitu..mtu anatetea ujinga kisa tu 'mbona ni kawaida' huko mtaani kwao.
 
Karibuni mobetostyles haters na lovers woote..

Kwanza kumfananisha Zari na Hamisa ni ujuha,upunguani na uwehu wa kiwango cha lami...

UMRI;Zari ana miaka 37 Hamisa ana miaka 24 ila tufanye 27 ila mi najua kamaliza form four 2011 sasa sijui mtajaza wenyewe

UMALAYA;hivi humu wazee wenzangu mnasema Hamisa kaanza kudanga bado mdodo eti tuwe wakweli sisi humu tumetolewa bikra na miaka mingapi?[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa watanzania sisi ambao masikini tunaokutana na changamoto za kimaisha kutwa kucha tumedanga kuanzia miaka mingap?(wengine humu ukute hata form one hukua na bikra)haya huyo Zari mnajua kaanza umalaya lini kama mwaka 1993 alikua jinja anatoka na DJ?hapo hata diamond hajaanza nursery hamisa hata nyonyo hajaacha!
Mi nimemjua Zari 2008 hamisa yuko form one

Mafanikio;kwa umri wa Zari na Umalaya alioufanya ana haki ya kuwa juu hata ningekua Mimi kudanga kule nisingekosa hata nyumba ya vyumba sita

Umalaya wa Zari ni ameamua kuupa hadhi kama enzi hizo kina Kardashians au kina Black China sio hawa bongo movie so ni lazima awe pale alipo kimafanikio tu vyovyote iwavyo kwa umri ule;Hata huyo Zari mnaemfananisha nae alipokua na miaka kama ya Hamisa alikua kama alivyo Hamisa Leo..Hamisa tayari ana kiduka chake na kinafanya vizuri haswaa hebu nna uhakika kama hakutakua na vijicho kama vya humu vya sie watu wazima hovyo wenye stress za maisha atakua mbaali mnoo na atafika hata alipofika Zari au Zaidi ya hapo!

Hivi mtu kama Ontario Leo umfananishe na Mi dewji si ujuha hata kama wameshea bwanaa

Kuzaa na bwana wa mtu yupi?unajua makubaliano yao?wangapi humu mmezalishwa na mabwana wa watu?wanagapi humu michepuko ya waume za watu?

Wengi humu tukubali ni stress kumuona Hamisa kazaa na daimond hatukutegemea 'Siku moja nilikua na dogo mmoja amesoma Tandika Secondary anamponda Missa nkamuuliza,kwa nini humpendi?akanijibu tulikua wote makapuku sasa hivi mwenzetu katoboa anajidai[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]'ndo humu tulivyo wengi
Pyeeeeeeeeeeeeeee!wivu huoooooo!
 
Wivu wivu wivu...unatufurukuta watanzania...sio kwa Hamisa tu hata Zari ni wivu wivu wivu unatung'ong'a bwana aibiwe diamond we ikuume au na wewe unamtakaa!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo unashea maumivu au...!!halafu wengine humu wenzangu na miye kama majogoo ya kuchorwa hawawiki,hawatagi,hawadonoi...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]!!hallooooooooooooooo!!
 

Umeandika vizuri sana
 
Ni hiviiiiii nashindwa kuwaqoute wote nipo busy,, humu wengi mwajifanya kumponda misa utafikiri nyinyi wasafi sana ,utafikiri hamjawah kuwa na mahusiano ya hivyo au haya mambo kutokea yamemtokea misa tu,watu wanazaa kabisa na waume za watu wa ndoa kitu gani daimond,kimewauma sana misa kuzaa na daimond mnatamani kufa kwani zari ni nanii haswa yaan mlitaka daimond asizae na mtanzania mwenzie azae tu na wa nje,misa anachokifanya ni wengi wanafanya iwe ndugu zenu au nyinyi wenyewe humu ndani ukute hapo mlipo mmeng'anang'ana na waume za watu na mmewazalia juu mkija jf misa malaya,misa mchafu msipende kujaji sana, Hamisa ni mzuri na ni mrembo na kazaa na wanaume ambao wako hot hapo Dar,sio nyie tu kimewauma hata watu maarufu wameumia walitamani wazae na daimond wajulikane ,na inafahamika mwanamke anapenda mwanaume maarufu,mwenye pesa,mwenye kipaji,mwenye nguvu katika jamiii..
Wanaume na nyinyi ukute hapa mnaponda hamisa lakin iule dm mnavyohangaika kumpata mna maana sasa nyie,hata ushoga huwa mnauponda lakin wataje ndio nyie mkija jf mnaponda,,,punguzeni unafiki mlitaka mama mobeto amtetee nanii kama sio mwanae ..

La mwisho mtahangaika bure hamisa na zari wote hawapindui kwa daimond na atakuwa nao wote,daimond hamatambulishi misa hampendiii angezaa nae? Mbona zari alitambulishwa kila kona na akafurahishwa mpaka kulia BBC bora kufichwa kuliko kuwekwa hadharani halaf unaibishwa kutwa kucha.

Washaurini na ndugu zenu waache kuzaa na waume za watu sio hamisa ,mnavyosema hamisa kana kwamba familia zenu safi hakuna alozaa na mme wa mtu acheni unafikiiii
 
Eti wanamuita malaya wajiangalie na wao binafsi wengine wana watoto wa kike watayaona mbona ,hivi mwanamke gani dar wa kukataa kuzaa na dai wachache sanaaa wengine woteee kwenye asilimia 100 watakataa asilimia 10 tu,,,kwenye mafamilia yetu wamalaya mbona wapo wengi tu eti wanamuona hamisaa tu nicheke mie,

Dai na hamisa wanaelewana wao mpaka kufikia kukubaliana kushika ujauzito na kuzaa ,huyo esma hata baba wa mtoto wake hatumjui kazi kumnaga hamisa wakati ye ndio aliwaunganisha,,,

Pili tuache wivu hamisa mzuri bana jamanii akivaa nguo inamkaa vizuri wengine tukisema tuvae nguo tujipange na hamisa kweli tutasema eeeee acha tumchukiee

Halaf hapo umempunguzia umeona zari hata kwa ivan ni mkubwa uliona zile picha ,ana 47 yule mwanamke sio 37 nabishaa ashukuru kujiweka vizuri japo sura inakataa bado wanamlinganisha mtoto wa miaka 27 na zari,,

Dai kwa hamisa hapinduiii nipo hapaaa jf badoo mtaniambiaaaa
 
Nyie wawili kwanini mmeandika maneno marefu hivi?
 
kwa iyo hamisa katoboa kuzaa na mondi .?
 
Tatizo sio umalaya hata wadangaji wenzie wanamshangaa amepata nafasi kashindwa kuitumia kabaki kushindana na zari,Hamisa alitakiwa apige kimya kimya ahakikishe anapata nyumba ya maana na asset nyingine sasa anapata faida gani zaidi kuzalilishwa na familia nzima ,kaishia kuambulia mtoto tuu so kwa wadanganyaji Mission imefeli atulie aje kivingine ,iyo mobbeto style si kaifungua baada ya kuambiwa awe anadanga kwa akili
 

Unazaa na mume wa mtu kumkomoa mkewe + unamtukana mkewe+ badae unatafuta huruma= stupidity at its highest level.

Kwa niliowahi kuwaona (na sio ndugu zangu) wana heshima kwa hao waliowekwa ndani..pengine mtoto anafika hata miaka 9 huko mke hajui..hadi baba aamue mwenyewe kujishtaki kwa mkewe. Ila sio huyo mwenzenu kumuumiza mwenzie kwa makusudi akiamini yeye ni bora sana..endeleeni kumpa support, that's all she needs right now asije akajiua bure.


'Anayeua kwa upanga...'
 
A
Nimechoka kuqoute watu wote halaf nimekuja kuoanray kaandika nami nishashusha post

Wanamuonea mno hamisa anaitwa kila aina ya majina
Utafikiri zari malaika wakati nae shetani tu kama misa
zari sio malaika lakin ana akili kusoma pia kunasaidia we angalia ma demu wa bongo movie na wa nollywood ndo utajua shule inasaidia ...
subiri zamu utakaponyakuliwa mume wako na mtu unaemfahamu afu ukute afanyiwa mambo makubwa kuliko wewe tuone kama utampongeza alie kunyakulia.
kwa iyo hamisa alitakiwa afanyiwe mambo makubwa kwanza kama anapendwa kweli then ndo aanze kupiga kelele
 
Dai hajaoa wewe,na alikana ndio kwanza ana 28 na hajaoa hebu hiyo kauli futa,
kwanini msilaumu pia daimond mnalaumu hamisa utafikiri alimbaka nyie vipii

Hivi alianzaga kumtukanaje,,??zaidi ya zari kumuita mwenzie maneno ya ajabu yaan asijibu kisaa
 
Nimechoka kuqoute watu wote halaf nimekuja kuoanray kaandika nami nishashusha post

Wanamuonea mno hamisa anaitwa kila aina ya majina
Utafikiri zari malaika wakati nae shetani tu kama misa
Watu wengi huwaga wanamuona Zari malaika. Kiukweli Zari na Hamisa wanatofautiana miaka na idadi ya nani katembea na wanaume wa nchi gani zaidi. Ila wote ni misukule ya Diamond yani hamna mwenye unafuu. Hamisa hatumuhuku ila alishajua anachoenda kukifanya kwanini asiwe mpole akala kwa nafasi? Sawa Diamond hajaoa lakini alishasema anamdate fulani ukiingia kati unaonekama kivuruge. Hamisa amefeli sana yani kumkubalia Diamond hata baada ya kumdhalilisha. Kibaya zaidi na huyu bibi wa kisouth na yeye masimango yote alopewa na Diamond na familia yake na yeye kamsamehe Diamond. Wanawake wa Diamond sijui wanakulaga yamini maana sijawahi kuelewa wanarudigi kufanya nini hata baada ya kudhalilishwa wanang'ang'ana tu kama mang'ombe
 
Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu
 
Hahaaaaaaaa ebooooo kwa hiyo Misa kwa Mond kalamba dume anaonewa wivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chinekeeeee kwa aibu anayoipitia sasa sidhani kama kuna anayemuonea wivu bali anapata alichostahili.

Jamani mabinti kuzaa na mwanaume wa mtu si ufahari ni ujinga mwisho wa siku huyo mwanaume anarudi kwa mwanamke wake mwanaume akikupenda anafeel proudly kuwa na wewe hata mbele za watu hii ya kufichwa kwenye makwapa siyo mapenzi ni ujinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mobeto anastahili alichokitaka. Next time ajifunze.
 
Zari kafanyiwa jambo gani kubwa na Diamond? Tukiacha ushabiki Zari na hamisa ni wale wale bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…