Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Ndo ajue hatakiwi ndo nini kufichwa vile, yani diamond kamficha Hamisa utadhani anaficha Makalio, kama zari alimkuta mbona hajawahi oneshwa Yani kakubali kufichwa akaja zari mivacay ya kukata na shoka mipicha ya kufa mtu ye kafichwa tu!!! Anasubiri mama na Esma walale ndo anapita ananyata akatiwe daaah huyo dem hatakiwi anafosi
Ha haha hahaa....Aiseee"" ila yule demu kweli empty set""...
 
Njoo chukua Heineken kwa bili yangu [emoji8]
 
ujinga kweli hamisa kila siku kutoa vipicha vya dai dai hata siku moja hasemi ako na hamisa huyu binti ni kujisukumiza kama jipu la katikati ya makalio khaaaaaa wacha wamtukane
Ana kazi sana teh aliona zari anafaidi haya kaachiwa zigo la tandale apambane sio kulialia sahivi Mungu sijui hajamfikisha wapi pyeeeeeee
Pussy soo gud apambane
 
Mama siku zote jua nafasi yako kwa mwanaume hata kama unampenda kiasi gani. Yes Diamond sio mume wa mtu ila alikua anadate na Zari hilo tayari ni kosa ambalo Hamisa amefanya kujiweka karibu na Zari halafu bado akatembea na mume wake mpaka akazaa nae. Tuassume anampenda sana Diamond ila bado kuzaa nae ni makosa kwanini alikubali kujiweka cloz na Zari tena? Hamisa alikosea kiukweli na kibaya zaidi akakubali kutumika.
Ni kweli hapo alikosea sanaa sanaaa lakin kuzaa na daimond ni bingo kwake kumbuka sasa hivi anafanya biashara ujue maisha ni kama kamali
 
33142855_177840016262508_1204099712135725056_n.jpg

Hapa mwenye makosa ni diamond ila wanawake ndio mnaishia kugombana. Kwa hamisa alivyo akiitwa njoo na diamond ataenda tu. Na zari akirudiana nae na yeye ndio walewale tu. Maana kasema wee kwenye ma tv baadae unajirudia hapo hapo
 
Ha haha hahaa....Aiseee"" ila yule demu kweli empty set""...
Ndo vimwanamke vingi viko hivyo vinaponzwa na midomo kama alitaka good life kwa diamond angebeba mimba akatulia tulii aendelee kula vizuri tena aitumie mimba kama fimbo (make bila shaka ndo mpango ulikua) yani ageuze mimba mtaji.
Sasa chenyewe kikaja kwa mbwembwe picha mara Shilawadu mwisho wa siku kimeambulia patupu kimebaki kimaliza nyege cha diamond
 
Fame ...hamisa alikuwa Anataka kuwa na jina kubwa zaidi ya vile alivyokuwa awali
 
Karma akiyoipata zari ni ipi sasa?zari alimtosa ivan kama alivyomtosa dai.
hamisa zari ..wote ni wahanga wa so called karma... zari kaipata kwa mumewe ..hamisa naye kaipata toka kwa zari ""..... Maisha acha kabisa
 
Anamficha kweli na kusingizia mama ake ni huyu binti binti
Haha hahha ....sasa anamchagua aliye Nona na kumfanya ndiye mama Yke "" means mama Yke anamkana ....daaah mjini raha
 
Halafu mashabiki wa tununu wanasema zari anishi kwa pesa za ivan,je hamisa anaishi kwa pesa za nani hapa mujini tena pesa za kushikana mashati hadi mahakaman
Jibu nikwamba hakuw anamuona kuwa ni type yake .....demu hana hata Laki " mpaka ahongwe ...sasa ataanzaje kumtangaza ndugu "...?!
 
Karma akiyoipata zari ni ipi sasa?zari alimtosa ivan kama alivyomtosa dai.
sasa hauoni mkuu ...kama ameingia kwenye league ya kipuuzi wakati kwa level ya umri na knowledge Yke alipaswa kuwa ametulia na watu wa maana kama kina Helen magese "",.. sijui " nyie but mimi kwa upande wangu naona nikujidhalilisha tu " na kuwa Fanya watu wamchukulie poa......"""
 
Misa alikuwa na dai before,na kumbuka dai hajaoa mpaka leo na kazaa nao wote na daimond dini inaruhuru kuoa wote wawili au watatu,wapendeni wote tu

Kuhusu hiyo mbona kuna watu wanazaa kabisa na waume za watu hamuoni ajabu sembuse misa kuzaa na dai akiwa na hawara zari
Hakuna cha karma hapo
Wanakuwa huko chumbani [emoji23][emoji23][emoji23] ni wapi Dai aliwahi kumkubali hadharani? Kila siku anamkana hadharani lakini binti bado yuko tu ifike mahali atumie common sense kama akili ya darasani hana.

Dai hampendi Hamisa na wala haihitajiki PHD kuliona hilo mwanaume anayekupenda anakuwa Proudly na wewe hadharani Dai kwa Hamisa anapunguza tu stress na si kwamba anampenda na hata ile mimba mpaka kuzaliwa mtoto haikupangwa ndio maana Mwanaume aliificha sana na hakutaka igundulike kabisa.

Mama Mobetto asilielie hii ni Karma kwani kipindi kile Zari anatukanwa na Hamisa huko Snap hakuona amkanye mwanae? Aache kuandika huko insta haitasaidia amkalishe mtoto wake chini amwambie atafute mwanaume wake tofauti na hapo matukio kama haya yataendelea tu hata kwa mwanaume mwingine.
 
Halafu mashabiki wa tununu wanasema zari anishi kwa pesa za ivan,je hamisa anaishi kwa pesa za nani hapa mujini tena pesa za kushikana mashati hadi mahakaman
Hao achana nao "" ukiona mpaka mtu anakuwa ni fan wa hamisa ...basi ujue kichwa chake kina ukoko .....lini hamisa amewahi kuwa na hela "",.....?Mimi sio shabiki wa haya mambo but binafsi nimeanza kumjua zari kbla hata domo hajulikani atakuwa lini star ...na wakati huo alikuwa anatajwa na bloggers kama mwanamke Mwenye pesa Africa mashariki ...najua zilikuwa ni kick "" but hela ya kusumbua mjini alikuwa nayo ....
 
Back
Top Bottom