Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

photoshoot zote mbili za mimba kafanya mwenyewe labour kaenda mwenyewe baba watoto hawapo sasa kuna raha gani apo ,bado kaenda kudai matunzo ya mtoto mahakamani yote hayo ya nini kwanini usi move on tuu na maisha yako bado anaona sifa kusema nimekuwa nae for 9 yrs kwa ipi asa alichomfanyia cha maana zaidi ya kutumika bila faida
Hivi hata kama ubakwi ndio unazaa zaa ovyo na wanaume za watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini ndio hivyo bwana Dai will not claim Hamisa. He claims Zari, but he cannot even support Hamisa's business. This should be enough to tell you , what you are trying to justify by throwing mud at Zari is only a fantasy. If Dai respected Hamisa, he would not let her go through this, na asingesubiri Hamisa avujishe picha ndio akubali mtoto ni wake. Hivi how do you compare how Dai treats Zari and how he treats Hamisa? Dai ni mshenzi but at the same time Dai kama wanaume wengine, anataka mwanamke ambae anajua wanasaidiana na wanajengana. Just because Hamisa is young na ana body nzuri does not make her the ideal woman? Mbona Majizo hakukaa nae? HIvi mmeshajiuliza? Mwanaume hachukui mwanamke awe mwenza wake just because she has a great body and is young, there is so much more than just a sexy body. Some men love the brain too. Yes, a woman with a brain, who contributes either kwa mawazo au emotionally. And this is where I understand Dai and his family. Ukitaka kujua Dai anamwona Hamisa kama msuuza rungu, aliposema "bitch is dying for fame". He already knew Hamisa was after fame and fame only. Meanwhile, Zari loves fame BUT she uses fame to make money for both herself, their children and Dai himself. And this is why Dai will always go back to Zari until Zari decides she no longer wants him.
Huyo Hamisa, msaidieni kwa kumjenga kiakili na kimawazo. And guys, stop saying she is 23. How is she 23 now when last yr she said she had been with Dai for 9 yrs, embu piga hesabu, how old was she when she started sleeping with Dai?
Kwani lazima akutangaze hadharani na hajakuoa jamanii,,mbona ndio vizurii,,halaf huyo zari mbona maduka yote yalikufa au kipindi hicho akili zilikufa au ,kumbuka pia wanaume wanahitaji kumlea mwanamke na sio mwanamke amlee mwanaume yaan utafikiri zari anampa pesa daimond au kuna kitu kakifanya dai akawa hapa alipo ,kwani kukaa na mwanauke muda mrefu ndio kuwa na akili au,si mnaweza kukosana tu ulidhani kuachana na majizp hamisa ndio mbaya au ,mbona zari na umri ule hata ndoa tu hakuna mpaka anageuzwa video vixen anaolewa kwa video

Hakuna nakataaa,unataka kusema hamisa ana miaka mingapi!?30??
 
Yani yeye alitakiwa apite kimya kimya wakati mwenzake ananyolewa na Diamond. Ila akaja na matashtit utasema ye ndo mwanamke wa kwanza kulalwa na Diamond. Haya sasa kiko wapi? Video zikatapakaa mitandaoni kwamba akiachwa Zari aachike sasa hivi karudiwa yeye kadumpiwa anataka tumuonee huruma. Nilimuone huruma alivyokanwa na Diamond kama vile alifanya dhambi kuzaa nae ila kwa hili kalitaka asitafute huruma yetu
Kabisaa mwenye kulitaka mwenye kulipata.
Alishindwa kula na kipofu kwa hili amekuwa mpumbavu sana. Wakulaumiwa hapa si Dai ni Hamisa.
 
Ndio mumseme ja zari tunachoka kusikia ya hamisa tu utafikiri hamisa kaua ,hata zari alikuja kwa mbwembwe na kuzaa haraka haraka ilikuwa matakwa yake lakin bado akatupwa kule,,mlaumuni na daimond maana hamisa hajazaa mwenyewe

Unavyosema hastahili unamaanisha mlitaka asi..... au awe sister maisha yake yote

Sitetei watu kuzaa na waume za watu au mabwana za watu hata nikisimama kupinga hakuna atakaenisikiliza kuna watu wanapenda kuwa na waume za watu ndio furaha yao hayajaanza leo haya,,na wanaume ndio wachonganishi kwani wao hawatakiwi wafunge zipu zao mlaumuni na daimond kwani alibakwa mpaka mumuone misa mbayaa acheni mambo yenu

Tumseme Zari, why? Umeona wapi Mama yake Zari ameandika mitandaoni anamuombea msamaha Zari au anaomba watu waache kumtukana Zari? Mama Zari alishakufaa, na hata alipokua hai, Zari siku zote anatukanagwa mnoo but she stands as a woman and deals with it mwenyewe. Wala huwaga hataki sympathy. Hata Dai alivyokiri mtoto wa Hamisa ni wake, uliona alichoandika Zari afterwards? alisema watu wasiomuonee huruma coz Dai amejifuck up mwenyewe for cheating on her. Zari hata akikosea anatukanwaga na anameza mwenyewe kwa shida. Hapo kwa Hamisa, hakuna aliesema asingezaa, sijui awe sister, aliamua kuzaa na Dai na alijua Zari yupo, hivyo apambane na hali yake ya sasa. Mama yake angekua kweli anamjali angemuonya Hamisa tangu hajabeba mimba ya Dai, angemwambia amake sure Dai anamuacha Zari ndio wazae, any good mother would have advised her daughter well. Haya sasa Dai ndio huyo back to Zari, and we are supposed to feel sorry for Hamisa? Nah! Please!
 
photoshoot zote mbili za mimba kafanya mwenyewe labour kaenda mwenyewe baba watoto hawapo sasa kuna raha gani apo ,bado kaenda kudai matunzo ya mtoto mahakamani yote hayo ya nini kwanini usi move on tuu na maisha yako bado anaona sifa kusema nimekuwa nae for 9 yrs kwa ipi asa alichomfanyia cha maana zaidi ya kutumika bila faida
Hapo sasa yani ni sidechick wa kimataifa maana kafichwa kwenye kwapa kuanzia enzi ya Wema mpaka Zari [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani lazima akutangaze hadharani na hajakuoa jamanii,,mbona ndio vizurii,,halaf huyo zari mbona maduka yote yalikufa au kipindi hicho akili zilikufa au ,kumbuka pia wanaume wanahitaji kumlea mwanamke na sio mwanamke amlee mwanaume yaan utafikiri zari anampa pesa daimond au kuna kitu kakifanya dai akawa hapa alipo ,kwani kukaa na mwanauke muda mrefu ndio kuwa na akili au,si mnaweza kukosana tu ulidhani kuachana na majizp hamisa ndio mbaya au ,mbona zari na umri ule hata ndoa tu hakuna mpaka anageuzwa video vixen anaolewa kwa video

Hakuna nakataaa,unataka kusema hamisa ana miaka mingapi!?30??

I cant argue with you any longer. Your reasoning is a little lacking, going with what you have just written. It is ok. You are talking about Zari's maduka, lol! really? Ok, Dai has gone back to Zari. Case closed.
 
Mwanamke anaeweza kuwa na dai zile video na wema wanaahikana ata kama ni kiki hapana kwa kweli ni kuzalilishwa ndo maana zari alitangaza kumuacha BBC ,
Kwa taarifa yako na huyo alienda kufanya matangazo ya break up mpaka BBC na kuonyeshwa bwana anakiss na Wema kwenye show bado akaonyeshwa video za kina Hamisa nae karudisha majeshi. Ila sisi kweli mwalimu wetu kipofu
 
I cant argue with you any longer. Your reasoning is a little lacking, going with what you have just written. It is ok. You are talking about Zari's maduka, lol! really? Ok, Dai has gone back to Zari. Case closed.
Uwe na siku njema
 
Basi Zari ni Malaya mwenye akili. Mwambieni na Hamisa ajifunze kutafuta hela siyo kuzaa tu na wanaume za watu mwisho wa siku wanarudi kwa wanawake zao. Leo majizo anaoa Mond Karudi kwa Zari yeye kapata nini? Watoto tu?

Sikuzote mwanaume anaoa mwanamke mwenye akili hizo Appearance hazileti hela ndani.
Akili ipi jamani ya Zari?
 
Ni makubaliano yao
Official wapi alizani kuzaa ndio kuolewa haraka
Hakuna makubaliano .. Kwa taarifa yako hamisa alibeba mimba ya chibu enzi za salome kabla haijatoka akafosiwa na mond aitoe akaitoa mshoga zake na ndugu wa mond wakamwambia we mjinga badala uzae umkomeshe zari ndo kwa akili zake za kuambiwa akategesha nyingine akapiga mpaka miez 4 ndo anamwambia mond akagoma kuitoa akawambia kaa kimya zari asijue nae ana mimba kubwa tuu ,akawa anahudumiwa vizuri kiherehere chake cha kutaka umaarufu wakati alikuwa nao tayari ukamponza sasa avune alichopanda
 
Ndo ajue hatakiwi ndo nini kufichwa vile, yani diamond kamficha Hamisa utadhani anaficha Makalio, kama zari alimkuta mbona hajawahi oneshwa Yani kakubali kufichwa akaja zari mivacay ya kukata na shoka mipicha ya kufa mtu ye kafichwa tu!!! Anasubiri mama na Esma walale ndo anapita ananyata akatiwe daaah huyo dem hatakiwi anafosi
Hahahhahahaaaaaaaa hamoisa.......
 
photoshoot zote mbili za mimba kafanya mwenyewe labour kaenda mwenyewe baba watoto hawapo sasa kuna raha gani apo ,bado kaenda kudai matunzo ya mtoto mahakamani yote hayo ya nini kwanini usi move on tuu na maisha yako bado anaona sifa kusema nimekuwa nae for 9 yrs kwa ipi asa alichomfanyia cha maana zaidi ya kutumika bila faida
Ila Hamisa basi tu. Halafu mama ake sijui hamwambiagi
 
Back
Top Bottom