Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Hivi unafikiri kwa akili za bongo muvi nani anaweza toa mimba ya mondi?[emoji3][emoji16]tuwe wakweli
Si ndo wale wale tu. Ndio maana hao wa nchi nyingine wataendelea kuwaburuza sana tu maana hawaijui thamani yao.

Kuzaa na mtu maarufu au mwenye hela hakukufanyi kuwa wa level fulani ni kujidanganya tu. Mwisho wa siku Missa haya anayoyapitia sahivi ndio malipo.
 
Hata mwaka asingerudiana nae. Kipi anachokitafuta sasa? Watoto wake watano na bado anavutia angetafuta mzee wake mmoja watulie waingie uzeeni wote waleane. Anasumbuana na Diamond ambae hata afunge nae ndoa wapi bado atamcheat na kumdhalilisha kama kawaida. At her age na umaarufu wake Africa hastahili kudate mwanaume type ya Diamond.
Ila Diamond atakuja kumcheat Tena Sio Kwa Hamisa Kwa mwanamke mwingine tofauti tusibiri tu
 
Wote Malaya !
Hatukatai kwa kuwa umeamua kusema [emoji23][emoji23][emoji23] vipi umalaya wa mobetto una faida gani kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zaidi anaishia kukanwa na kutukanwa kila kukicha
 
Umaarufu unawafanya wavumilie kuzalilishwa kinachomuuma hata hamisa kwa mond ni umaarufu mbona kwa majizo hakung'ang'ania bora zari umri umeenda yeye atavumilia vitibwi tu hana nma
Kwa majizo aling'ang'ania sema akakuta majizo keshashikiliwa na shikana akarudi nyuma. Akaona wa kumkomesha ni Zari [emoji23][emoji23]
 
Hapana kwenye umalaya wake sitii neno maana Hamisa bado mchanga sana kwenye game la umalaya ukimcompare na Zari. Shida yangu kwa hawa watu wawili ni kuhusu Diamond tuu hamna lingine
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
zari ana nyumba zake 2 mbali na iyo anayoishi sasa
na kwa taarifa yako iyo nyumba siyo ya kinje wala dai ni ya zari na alikuwa alinunua mwenyewe na kujifanya dai kamnunulia ili kuwarusha roho wa kama kina misa na nyumba ya madale zari alitoa dola laki moja ili ifanyiwe finishing na funture alinunua yeye south ,mademu wa bongo wa kaanza kushoboka kwa dai wakijua ana hela kumbe anahongwa na jimama
Na zarina sema yeye ana akili ya maisha ujue licha ya kungonoka sana na mwanaume je una nini cha ziada cha Ku offer a party from sex ndo kinacho mukost hamisa aisee, mapenzi ya sikuhizi mwanamke inabidi uwe na akili supportive kwa mpenzi wako ki mawazo na mengineyo
 
Sasa wanaelewaga kwani?? Wema nae si alichambwaga na wote? Ila wakishikwa mkono kidogo wanasahau yote. Sijui ni fame au ndo mahaba au njaa zao ndo maana wanajishusha hivyo sielewi kwa kweli
Wapumbavu wotee hata Zari alitukanwa na wotee Leo kajirudisha [emoji3][emoji3][emoji16]wanawake siye
 
Hata mim nisingetoa mamiyake ila msingekaa mkanijua hata Shilawadu wangekuja ningekataa nikasema diamond cuzn yangu bora mahitaji napata akaaaa
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38][emoji38]jamani jamani yaani haya mambo haya acha tu
 
zari ana nyumba zake 2 mbali na iyo anayoishi sasa
na kwa taarifa yako iyo nyumba siyo ya kinje wala dai ni ya zari na alikuwa alinunua mwenyewe na kujifanya dai kamnunulia ili kuwarusha roho wa kama kina misa na nyumba ya madale zari alitoa dola laki moja ili ifanyiwe finishing na funture alinunua yeye south ,mademu wa bongo wa kaanza kushoboka kwa dai wakijua ana hela kumbe anahongwa na jimama
Uongooooo!chai[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Back
Top Bottom