Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Yaan washaona mengiii ila hawana namna watafanyajeeUtafikiri ndo kabalehe mi kule kushikana na wale wanawe wakubwa vile ni aibu hata kama ni mapenzi ngumu kumeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan washaona mengiii ila hawana namna watafanyajeeUtafikiri ndo kabalehe mi kule kushikana na wale wanawe wakubwa vile ni aibu hata kama ni mapenzi ngumu kumeza
Mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahahah
Ndoa Ya kimila wewe tafuta clip Yake na SporahSio kweli alitoa mahari bwana[emoji3][emoji16][emoji16]tusidanganyane hapa!
Ila nakumbuka alibadilisha dini akawa mlokole ili aolewe ndoa haikutokea [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji11]shoga hapana
Nasemaje Hamisa ni mpuuzi wa kiwango cha juu bora Zari hata msamaha anaombwa Missa hata sorry hapewiMbona Zari kampokea hamsemi au yeye ana haki zaidi ya kuliwa na mondi?
Hamisa na Dai wote wapuuzi bwana wee
Ahahahahahahahahah je hamisaa simu ataifanyajegombana na wote lakini sio mwanamke
zari ingia jf leo nahisi na simu utaitupa kwenye maji
Weeee karudie clip ya Bbc uone zari anasema mwenyewe hajaombwa msamahaaaNasemaje Hamisa ni mpuuzi wa kiwango cha juu bora Zari hata msamaha anaombwa Missa hata sorry hapewi
Ila na wewe unamchukia sana zari kwa nini? Mbona hamisa na zari wote wazinzi tu?Hamjafikia zari hata robo ,dai anawaambiaga wcb misa ana mnato
Soma post zangu nishasema wote wale wale ila timu hizii wanamchukia mno misaIla na wewe unamchukia sana zari kwa nini? Mbona hamisa na zari wote wazinzi tu?
Sioni faida ya kunchukia huyo bint wanapoteza muda diamond anaangalia wapi ilipo fursa sifikirii kama hamisa ana fursa zaidi ya kuwa tegemezi diamond mjanja sana anakimbilia kwa zari kwa ajili ya kuitumia fursa hamisa angekuwa yupo vizur kibiashara angemuangusha zari mapema tu.Soma post zangu nishasema wote wale wale ila timu hizii wanamchukia mno misa
anaitia chooni kabisaaaaaaaAhahahahahahahahah je hamisaa simu ataifanyaje
Ni kweli kabisaaaSioni faida ya kunchukia huyo bint wanapoteza muda diamond anaangalia wapi ilipo fursa sifikirii kama hamisa ana fursa zaidi ya kuwa tegemezi diamond mjanja sana anakimbilia kwa zari kwa ajili ya kuitumia fursa hamisa angekuwa yupo vizur kibiashara angemuangusha zari mapema tu.
Ahahahahahahahahahanaitia chooni kabisaaaaaaa
Hana ubavu wa kupata mzee mwenziwe[emoji3][emoji3][emoji16]Kama hao wazee wanakula na kuseoa afanyeje
Sioni faida ya kunchukia huyo bint wanapoteza muda diamond anaangalia wapi ilipo fursa sifikirii kama hamisa ana fursa zaidi ya kuwa tegemezi diamond mjanja sana anakimbilia kwa zari kwa ajili ya kuitumia fursa hamisa angekuwa yupo vizur kibiashara angemuangusha zari mapema tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gombana na wote lakini sio mwanamke
zari ingia jf leo nahisi na simu utaitupa kwenye maji
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]hatwaaariii!mama weee!hawayaoni hayo kumbe nae ni home breaker ila alikutana na wajanja wenziwe[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Tena alikua anakula waume za watu huku yeye ni mke wa kimila wa Ivan. Kwani unadhani Diamond alimpata kwenye ndege wakati anakuja bongo kusign business deal au?? Alikua anakuja kwa sponsor wake bongo. Yule Paul sijui Peter wa P square walikua na mahaba motooo akajua ataachana na Ivan aolewe yeye akaolewa mwenzie. Kuna yule mganda anamchambaga Zari anasemaga kule chini kwa Zari watu wanaweza kufanya UN summit maana mataifa yote yameshapita hapo
Imefungwa wapiNa thread imefungwa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mondi hamisa anampenda sana acha awe na zari anayependa mashow off kwaherini jamani sitaki mapovu ukiniquote mgazeti unapoteza mda huwa sisomagi
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]umenifanya nicheke kama falaaaaaWale Wote K Zao zimesoma Maili kadhaa ila Hamisa anauwezo wa kupunguza masafa umri bado